Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Walighushi uchguz mzima itakuwa wabunge 19 tu wa viti maalumu
Sasa kama walighushi majina ya viti maalumu, iweje hao akina halima wakimbie kwenda kuapa haraka haraka?

Wewe huoni hili igizo ni la kinyumbu sana?

Hivi nyie wafuasi wa MBOWE mko timamu kweli?
 
Mnafikiri nyie mnavyomsujudia Mh mungu na CHADEMA kuna huo upuuzi ?
Ndo maana hao wanawake wamewadharau na Hawana habari na hicho kikao Cha saccos. Wanamwona mnyika poyoyo tuu na Hawana haja ya kuheshimu viongozi.
IMG-20201127-WA0001.jpg
 
Chadema Inaendeshwa Kijinga na Kihuni sana
Pale wapo Wapo tu
 
Hata Jiwe nae macho na akili kwenye tamko la Mbowe. Slow Slow nae hajala hata kula anasubiri tamkozi.
 
Back
Top Bottom