impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Kichwani funzaList ya Mbowe ina barua yenye Muhuri halali ya Mdee ina dhamana ya wanawake. Haya tusikilize porojo za Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwani funzaList ya Mbowe ina barua yenye Muhuri halali ya Mdee ina dhamana ya wanawake. Haya tusikilize porojo za Mbowe
Sasa kama walighushi majina ya viti maalumu, iweje hao akina halima wakimbie kwenda kuapa haraka haraka?Walighushi uchguz mzima itakuwa wabunge 19 tu wa viti maalumu
Ndo maana hao wanawake wamewadharau na Hawana habari na hicho kikao Cha saccos. Wanamwona mnyika poyoyo tuu na Hawana haja ya kuheshimu viongozi.Mnafikiri nyie mnavyomsujudia Mh mungu na CHADEMA kuna huo upuuzi ?
Maamuzi yanatakiwa yatangazwe mwishoni ili watu wafuatilie na wajue msingi wa maamuzi hayo umetokana na mambo gani.saa 21:38 bado kimya kunani?
😆😆😆hivi kwa nini watu wakitokaga chadema huwa wana hasira nacho sana?huyu jamaa mda sana alishaaminishaga watu cdm haifai imekufa kaongea kanyamaza karudi tena ,wapeni vyeo jamani duh
🤣🤣🤣 wabunge wa CCM -B au NEC CHADEMA, upinzani bila pesa ni sawa na kelele za chura kwenye majiWatakuwa wabunge wa mahakama kama Zitto huko nyuma sio Chadema
Kwani Baraza la mawaziri liko tayari?Kitendo cha Kamati kuu ya CDM kushindwa kutoa maamuzi yoyote mpaka dakika hii ni ishara tosha kwamba wameshazidiwa
Kwahiyo kuleta mabadiriko kwenye nchi mpaka CCM itoke madarakani?Kwahiyo kujenga upya chama ni mpaka Mbowe ajiudhuru?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwani jela mliwatoa nyie watu watachangia Chama chao kuliko kuwabeba hao wanawake uchwara🤣🤣🤣 wabunge wa CCM -B au NEC CHADEMA, upinzani bila pesa ni sawa na kelele za chura kwenye maji
Wewe ni huyu hapa?Nani nimemkejeri mkuu. Kwani ni siri kuhusu Mbowe na Faru John? Mbona nakunywa naye kila mara hapa Triple 7 na anajua huwa namwambia kila nikikutana naye?
We kweli salama bichi.Hata Jiwe nae macho na akili kwenye tamko la Mbowe. Slow Slow nae hajala hata kula anasubiri tamkozi.
Mbona hata huko hakuna kitu. Kuna kipande kifupi recorded tu kipo.Nendeni you tube wanaonyesha darmpya nimeshindwa weka link hapa
Umewasiliana nao we nyumbu au unaropoka tuu?Hata Jiwe nae macho na akili kwenye tamko la Mbowe. Slow Slow nae hajala hata kula anasubiri tamkozi.