Ubarikiwe sanaAchana nao ,Chadema si ya kufa leo wala Kesho wala mtondo goo , wameondoka akina kafulila , Zitto , Lowasa , Sumaye , Slaa n wengine wengi chama kimeendelea kusimama .
Nguruwe WA CCM wataendelea kuroga Kwa kuchutama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe sanaAchana nao ,Chadema si ya kufa leo wala Kesho wala mtondo goo , wameondoka akina kafulila , Zitto , Lowasa , Sumaye , Slaa n wengine wengi chama kimeendelea kusimama .
Nguruwe WA CCM wataendelea kuroga Kwa kuchutama
Kama jpm amekuwa rais yeyote aweza kuwa raisPumbavu mkubwa, rais unamlinganisha na wapuuzi kama Mbowe
utakula banDo me a favour futa hizo post zinazohusu watu wengine; halafu kama unapenda kutukanana I’m ready to entertain you.
Ulitakaje sasa ili kuwe na kitu?Hamna kitu apo
Eti mwamba nyie ndio mana mnaitwaga NYUMBUMwambaaaaaa,
Slaaa yuko Canada leo? we poyoyo kweli weweSlaa ni mwizi alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba na CCM huko canada hana cha kuigwa na kazee fulani kapumbavu fulani hivi
Huyo msajili kakaa kimya tu ccm na nec wanavunja katiba ya nchi waziwazi...Nitamshangaa sana msajili kama ataendea kukivumilia hiki cha kinachofanya kila hila kuhujumu nchi na kuvunja Katiba ya nchi inayowatakupeleka wabunge wa viti maalumu.
Hicho Chama kifutwe haraka sana mana kipo kwa ajili ya maslahi ya viongozi wasiozidi watano.
Tunamuomba msajili akifute haraka kwani kimekua ni kichochoro cha wasaliti wa nchi na wahujumu maendeleo ya watu.
Lkn Dunia itajua kuwa Bunge la TZ halina Upinzani,hao 19 watakuwa ni Wabunge wa CCM na si Chadema.Atatoa tamko ila ni uchwara kwa serikali ya CCM, hata akiwafukuza uanachama bado wana baraka za NEC watashinda tuuu
Kwani haujasikiliza hotuba?Eti NEC waghushi, wajumbe wa kamati kuu waarifiwe, waende Dodoma, wakubali kuapishwa kuwa wabunge!! Inaingia akilini kabisaaa! ????? Kweli nyumbu ni nyumbu tu!
Usikufuru kwa kumfananisha Mjinga yule na Yesu,Yesu ni Mungu unaanzaje kumfananisha na mwanadamu?Jiwe ni Yesu, by Lugola
Ni kiongozi wa malaikaUsikufuru kwa kumfananisha Mjinga yule na Yesu,Yesu ni Mungu unaanzaje kumfananisha na mwanadamu?
alisema Lugola au umesahauUsikufuru kwa kumfananisha Mjinga yule na Yesu,Yesu ni Mungu unaanzaje kumfananisha na mwanadamu?
Yule .mzee ni bure kabisa,ndio maana pamoja na kujipendekeza liliishia kutumbuliwa.alisema Lugola au umesahau