Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Achana nao ,Chadema si ya kufa leo wala Kesho wala mtondo goo , wameondoka akina kafulila , Zitto , Lowasa , Sumaye , Slaa n wengine wengi chama kimeendelea kusimama .

Nguruwe WA CCM wataendelea kuroga Kwa kuchutama
Ubarikiwe sana
 
Ubabe, udikiteita, dharau kejeli etc ngoja tuone Ndugai atakavyoutumia kuvunja sheria zilizopo za viti maalum kuwaweka bungeni.
Muda utaongea.
 
Mbona hawajamuongelea yule wa kuchaguliwa? Au yeye siyo haramu?
 
Slaa ni mwizi alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba na CCM huko canada hana cha kuigwa na kazee fulani kapumbavu fulani hivi
Slaaa yuko Canada leo? we poyoyo kweli wewe
 
Nitamshangaa sana msajili kama ataendea kukivumilia hiki cha kinachofanya kila hila kuhujumu nchi na kuvunja Katiba ya nchi inayowatakupeleka wabunge wa viti maalumu.

Hicho Chama kifutwe haraka sana mana kipo kwa ajili ya maslahi ya viongozi wasiozidi watano.

Tunamuomba msajili akifute haraka kwani kimekua ni kichochoro cha wasaliti wa nchi na wahujumu maendeleo ya watu.
Huyo msajili kakaa kimya tu ccm na nec wanavunja katiba ya nchi waziwazi...
 
Ukweli ni kuwa huu mchezo waliocheza ccm October 28,2020-..waliucheza hovyo mno.
Hawakuangalia yajayo na taswira ya nchi kwa nje itakuwaje?!!!...hizo 2 trillion wanazozipigania kwani hawakijua vigezo na masharti yake?...chama kimejaa watu wasio na akili tupu hizo.
Ndio maana wako radhi kuwafanyia hila kina Zitto,Mbowe,Mbatia&co...ili waingie kina MwanaFA na Babu Tale bungeni kujadili mstakabali wa nchi eti?!-like seriously ?
 
Atatoa tamko ila ni uchwara kwa serikali ya CCM, hata akiwafukuza uanachama bado wana baraka za NEC watashinda tuuu
Lkn Dunia itajua kuwa Bunge la TZ halina Upinzani,hao 19 watakuwa ni Wabunge wa CCM na si Chadema.
 
Back
Top Bottom