Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Ukiangalia sintofahamu na matukio ya kihuni yanayoendelea ndani ya CHADEMA na katika Taifa hili, kwa ujumla wake ukiangalia katika macho ya kiroho, utagundua kuwa uwepo wa changamoto hizi zinazopitiwa na Chadema, hauna tofauti na zile ambazo wana wa Israeli walizipitia wakati wakitoka katika Nchi ya utumwa ya MISRI kuelekea katika nchi ya ahadi ya KANANI.

Maana katika kundi lile wapo waliopewa nguvu kubwa sana ya kuongoza na kuwaaminisha wenzao kuwa ndiyo watakaowafikisha katika nchi ya AHADI. Lakini haikuwa hivo! Kwani wengi wao waliishia njiani na wakafa bila kuiona nchi hiyo. Katika vizazi vilivyobaki wapo waliokata tamaa, lakini wengine waliwatia moyo na kusema, tunaishi kwa AHADI ya MUNGU! Lazima tufike katika nchi ya AHADI.

Hivi ndivyo ilivyo leo kwa haya yanayowatokea akina HALIMA MDEE na wenzake! Yawezekana wakati wanafanya hayo walifikiri kuwa wao ndiyo CHADEMA! Lakini CHADEMA ni Taasisi kubwa ambayo mtu yeyote anaweza kuiongoza kwa misingi ya kufuata Kanuni na Sheria zake. Na wapo tena wazuri Zaidi ya hao!

Kwa tafsiri nyingine inafaa tuiangalie CHADEMA kama ni mpango wa MUNGU! Kwamba huu ndiyo wakati sahihi wa MUNGU sasa kuandaa watakatifu ambao wanastahili kukabidhiwa DOLA! Akina MDEE watabaki kwenye historia kuwa walianzisha safari lakini walifia njiani kama ilivyokuwa kwa akina MUSA na wenzake.

ITOSHE TU KUSEMA, KUWA UKIONA HAYA YANATOKEA, UJUE KUWA MPANGO WA MUNGU UNAKARIBIA.

UAMZI WA KAMATI KUU NI 100%
 
Tatizo ndio liko hapo, mie sio CCM wala Chadema, raia ambae nakatishwa tamaa na muongozo wa Chadema kama Chama kikuu cha upinzani.
Kama mzazi nyumba yako inayumba huwezi kutaka kuongoza mtaa. Kwanza ongoza familia yako hili utolee mfano bora kwa majirani ndio wakupe uongozi wa mtaa.

Wewe huoni umuhimu wa kuleta mawazo mapya ndani ya Chadema?
Haupo CCM wala CHADEMA, ila unakatishwa tamaa na muongozo wa CHADEMA, ila at the same time huoni mwenendo wa nchi chini ya CCM ulivyo tokea uhuru mpaka leo. Au umeridhika nao?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Na: Mshinga JN

Lengo la shauri/mashauri:

Kina Halima wanaweza kufungua kesi mahakamani juu kupinga kufukuzwa unachama wao ili waendelee kuwa wabunge wa mahakama na kesi ikacheleweshwa kuamriwa kwa muda mrefu.

Kufungua kesi ya kupinga uhalali wa ubunge wao inaweza kuufuta huo ubunge hata kama wanaendelea kuwa wabunge kwa kukatia rufaa uanachama wao mahakamani.

Hii ni vita ya kote kote.

A: Mapungufu ya kisheria kwa sheria za Tanzania.

1. Wabunge wa viti maalumu wanapaswa kutangazwa na tume ya uchaguzi kama wagombea ubunge wanavyotangazwa majimboni.

Mpaka muda huu Tume ya Uchaguzi haijawahi kutangaza majina ya hao wabunge 19 wa Chadema ila ajabu walienda kuapa na waliapa hata kabla ya tume kuwatangaza kama inavyotakiwa.

2. Viti maalumu wanapaswa kupendekezwa na chama cha siasa.

Hakuna chama cha siasa kilichoteua na kupendekeza majina ya hawa 19.

3. Wabunge wanapaswa kuapishwa ndani ya bunge kwa mujibu wa katiba na sheria.

Wabunge hawa 19 wameapishwa nje ya bunge kwa mujibu wa mabadiliko ya kanuni yaliyofanywa mwaka huu kumruhusu spika kuwapisha wabunge popote pale akiamua hata kwenye shamba la mpunga.

Kisheria, sheria yoyote inayoenda kinyume na katiba ni batili.

Kisheria, kanuni yoyote inayoenda kinyume na sheria ni batili.

Hivyo kanuni iliyompa Ndugai mamlaka ya kuwapiisha wabunge 19 kwenye garage ni kanuni batili kwa kuwa inaenda kinyume na katiba ya nchi pamoja na sheria za nchi.

4. Wabunge wanaopendekezwa na chama wanatakiwa kujaza fomu na kufanya viapo mahakamani.

Hapa hawajaapa(mfano Nusrati Hanje) kwa muda ambao alitolewa mahabusu usiku na kesho yake kuwahi Dodoma kwenda kuapa.

5. Kwa sheria ya za nchi, Mtuhumiwa hupelekwa gerezani kwa amri ya hakimu ama jaji.

Pia Mtuhumiwa anaweza kutolewa gerezani kwa amri ya Hakimu ama Jaji.

Hakuna remove order(amri ya hakimu kumtoa Nusrat Hanje) iliyotolewa na hakimu wala jaji yeyote wakati wanamtoa gerezani.

Vile vile, kama serikali haina nia ya kuendelea na kesi, kesi hufutwa na DPP mbele ya mahakama kwa kuileza mahakama.

Kitu ambacho pia hakikufanyika na kuonesha namna sheria zilivyovunjwa na mahakama kunajisiwa.

Ajabu nyingine ni kwamba, hata kama remove order ikishatoka, mahabusu aliyeko magereza hawezi kutolewa baada ya muda kuisha mpaka kesho yake maana anafata ratiba za wafungwa(kulala saa kumi kamili jioni).

Wafungwa huwa wanalala saa kumi jioni. Nusrati Alitolewa na saa moja na nusu usiku.

Kwa utaratibu upi halali?

B: Mapungufu ya kisheria kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA.

1. BAWACHA inatakiwa kuandaa na kupendekeza vigezo na taratibu za kuwapata wabunge viti maalumu na kuwasilisha mapendekezo hayo kamati kuu ya Chama.

BAWACHA iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Halima Mdee na viongozi wenzake waandamizi haijawahi kuandaa na kupendekeza vigezo na masharti ya kuwapata viti maalumu kwa mwaka huu, na haijawahi kuwasilisha mapendekezo kwa kamati kuu.

2. Kamati Kuu ndio ina mamlaka ya kupitisha majina ya wanaopendekezwa kuwa wabunge viti maalumu.

Ajabu, Kamati kuu haijawahi kukaa kikao chochote na kupendekeza majina ya viti maalumu.

Kila kitu ni kimefojiwa.

3. Katibu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kusisaini fomu zote.

Kitu ambacho hakijafanyika na badala yake kina Halima walifoji.

Mshinga JN
 
CHADEMA imejichimbia kaburi kwa kukurupuka kwenye maamuzi badala ya kufuata katiba na kanuni za chama kwenye hili sakata
 
Jiwe anawapawa wakati mgumu ccm, maana anafanya maamuzi bila ushauri, maamuzi ambayo hata kufichika hayawezekani.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
TWENDE MBELE NA KURUDI NYUMA,
INAWEZEKANA SAINI NA MIHURI YA CHAMA CHA CDM HAIJAGUSHIWA.

HALIMA NA WENZAKE HUENDA WAMEFANYA HAYA,

1) UWEZEKANO wa kurubuni masekretary wa Katibu MKUU Na akawapa Muhuri wakajigongea kwenye form zao.

2) UWEZEKANO wa form walizopelekea chadema na NEC ambazo wanadai zipo OFISINI Hadi Sasa ,Zikawa ziliscaniwa na kuprintiwa ,Orgino wakachukua wakawaachia ZILE walizoscani wao.

3) UWEZEKANO wa kuscani SAINI ya Mnyika na kuinsert kwenye hiyo form zao pia upo mkubwa.

MAONI YANGU.

1) UKIPEWA OFISI TEMBEA NA FUNGUO ZAKO NA MIHURI YAKO.

2) USIMWAMINI KILA MTU UKAMRUHUSU AINGIE OFISINI KWWKO BIKA WEWE AU UKAMUAMINI MSAIDIZI WAKO KUPITA KIASI.

NOTE:- CHADEMA UCHUNGUZI UANZIE OFISINI KWENU.HIZO FORM MNAZODAI MNAZO NDIZO ZENYEWE??

HIZO MIHURI NA SAINI YA KATIBU MKUU NDIZO ZENYEWE?? MKIKUTA NDIZO ZENYEWE MDILI NA MNAOWAACHIA AU KUWAKASIMISHA OFISINI NA HILI LIWE FUNZO KWENU.

UKUPIGAO NDIO UKUFUNZAO.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]
Upo sahihi mkuu
 
Kimsingi kwa maamuzi ya KK, CHADEMA wana point 3 muhimu ku win mioyo ya wanachama na wananchi walio wengi! Nashauri CHADEMA iendelee na strategic move, mobilize BAWACHA nchi nzima, plant new roots, strangle any propaganda from the second & third party!
Exactly
 
Vichwa 19 vimetemwa,hebu acha ni assume nafikiria tu

vichwa 19 vionyeshe makali yale yale kwa miaka hii 5 wakiwa

huko bungeni na ktk utendaji kazi,kufika 2025 vifanyiwe usajili kuja CCM

hivi 2025 CCM ikishinda tena uchaguzi mtalalamika mmeibiwa kura ndugu pipoz?!
 
CDM walitakiwa kufahamu kuwa wanao MUDA na hili swala lingewachukua MUDA kuamua si swala la kwenda kwa mhemko na kutafuta shortcut .
Huna hoja mkuu,muda??hawa wahalifu walichukua muda kutafakari kama maamuzi yao ni sahihi au la kwamba ni sahihi kwao kuapishwa ubunge na huku majimboni mwao kuna watu wako jela kwa ajili yao just think about it.mimi naona wewe unasema kwa mihemko na kutaka kuwapangia CDM cha kufanya tena kwa wakati gani Nyie Mataga ni shidaaaa na ndio maana mwenyekiti wenu alishawaambia hataki kupangiwa kwa sababu ya ujuaji wenu.
 
Like son like daddy....!!
Hata wewe unaweza kutangulia wakti wowote! Ukijua kuwa kuna kufa huwezi kuwa mshennxx na mhuni kama Jiwe lako! Mungu anasema TAKENI AMANI NA WATU WOTE....!!!
😂😂😂 Siujui na siuoni huo ushenzi wa huyo unaemuita jiwe. Hata hivyo kwenye swala la kufa hakuna Cha anaetenda wema au ushenzi, wote tutakufa tu. Wewe hata ujione mtakatifu kuliko huyo unaemuita jiwe,ardhi itakumeza tu.Kwahiyo ishi maisha yako,kwa kadri uwezavyo
 
Shida ya upinzani huanza kujenga chama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu

uchaguzi ukishapita huwa wote wana relax hawana habari wala mkakati wowote

wa uchaguzi unaofata,hili jambo ukiliangalia kwa upana utaelewa ni kwann CCM ni baba la baba

wameshaanza kutengeneza team ya ushindi 2025,watu mmetegwa kidogo mmesusa,unamsusia chakula mwenye njaa.

Eti leo hiii Aishi Manula avunje 1 ya sheria za simba,halafu simba waseme hawamtaki tena manula,team pinzani wamchukue

hapo aliepata hasara ni nani kati ya simba na manula? ni heri uonekane mjinga kwa dk 1 kuliko kuwa mjinga kwa miaka kutokana na maamuzi ya kimihemko .
 
Shida ya upinzani huanza kujenga chama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu

uchaguzi ukishapita huwa wote wana relax hawana habari wala mkakati wowote....
Mkuu zinakutosha? Hujui Siasa za upinzani zilipigwa pending miaka 5 ama ulikuwa bado unachukua boom shule? Kuvukuzwa hao kinamama ni sawa na alivyofukuzwa Membe tens kosa la Membe was soon smooth nearly to none ukilinganisha na hawa wasiojitambua mpaka wanawake wenzao wanawashangaa.
 
Sasa katiba ya chama inasemaje?
Hilo ndilo swali la msingi ila kwasababu ya mahakama za TZ hamna kitu zipo kisiasa zaidi watasikiliza wanachotaka wanasiasa wenye dola,yote haya ccm inahaha si kuwatetea hawa akina dada ila ni mchakato wa kuwapata wapinzani ili wapate fedha za wafadhili kazi mnayo mwaka huu mmetimba mambo mengi hata hamjui muanze na lipi.
 
Shida ya upinzani huanza kujenga chama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu

uchaguzi ukishapita huwa wote wana relax hawana habari wala mkakati wowote....
Kama wanajiandaa kwa kipindi cha mwaka mmoja tu halafu ikawalazimu kuwateka wanaorejesha fomu, kuwanyima fomu, kukimbizana na viroba vya kura feki,kuiwekea vikwazo mikutano yao,ebu fikiria kama wangejiandaa kipindi chote au wangeruhusiwa kufanya siasa ingekuwaje.
 
uliyoyasema una ushahidi nayo au unaandika mambo ya kusikia na kuona kwenye mitandao?
 
Back
Top Bottom