kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Zitto yupo CHADEMA??Hebu mtafute zitto atakuambia vizuri kinachoendelea mle ndani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto yupo CHADEMA??Hebu mtafute zitto atakuambia vizuri kinachoendelea mle ndani!
Popote alipo anaijua chadema nje ndani!Zitto yupo CHADEMA??
Narudia tena,kuna tatizo kubwa sana la uelewa huko nyumbani,na wewe ni mmojawapo wa wenye tatizo hilo.Hawajavuliwa uanachama bali Kamati kuu imewavua vyeo vyote na kuazimia kuwavua Uanachama
Sio Wewe tu hata Waandishi wengi wameshindwa kutofautisha kati ya kuwavua Uanachama na kuazimia kuwavua Uanachama
Nani kakuambia rais ana akili kuliko wasio marais,kwa utafiti upi?
Acha bwana! Chademaaa mmeamua kuwatukana sasa makamanda wenzenu...Ila Watanzania wote tunajua hawa wanawake ni mashujaa.Ila Akina ESTHER huwa wana matatizo sana.Hamnaga Esther ambaye sio cheap
Mkuu kwenu Bukoba ni msimu wa senene ujuweAcha bwana! Chademaaa mmeamua kuwatukana sasa makamanda wenzenu...Ila Watanzania wote tunajua hawa wanawake ni mashujaa.
Hao senene hawajaanza jana wala juzi Mkuu...Mkuu kwenu Bukoba ni msimu wa senene ujuwe
Kama rais unayemaanisha ni magufuli ninamzidi!jibu swali, wewe una akili kuliko raisi? jibu ni ndio au hapana
Kwanza, napenda kumpongeza Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe kwa uamuzi madhubuti na sahihi kwa kuwafukuza uanachama kundi lote la Covid 19. Adhabu uliowapa inaonyesha wazi kuwa usaliti wao ni hatari kwa CHADEMA. Pili, niseme kuwa nadhani adhabu hiyo haitoshi kwa sababu upo uwezekano wa jinai ambayo inatokana na kughushiwa nyaraka zilizopelekwa TUME ya Uchaguzi na hatimaye Bunge. Kwa msingi huo basi ipo haja ya kufanya uchunguzi wa kina ili kujua nani hasa alighushi nyaraka husika na sheria ya JMT ichukue mkondo wake.
Mwisho napenda kuuliza inakuwaje sasa Ndugai, NEC, AG, na wengine wanawapenda na kuwalinda wapinzani wakati wao hao hao ndio walioabambika kila aina majina kipindi cha Uchaguzi? Ushauri wangu kwa Halima Mdee ni kwamba ngoma imefika mwisho. Kaa kimya anza maisha mengine. Kama unao ubavu wafichue waliokushindikiza ufanye uliyoyafanya, ila uwe tayari kupata madhara ya maamuzi yako. CCM haina tofauti na MAFIA ni kundi la watu wanaojali maslahi yao tuu, kama ukiwaingilia wanakuondoa na hawana huruma yoyote.
Kama rais unayemaanisha ni magufuli ninamzidi!
Umeuliza kuhusu rais,Lissu imekuwaje tena?na lissu je?
Umeuliza kuhusu rais,Lissu imekuwaje tena?
NB.Usifananishe volcano na jivu la mabua!
Inaonekana imekuuma sana eeh!!?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana haijaniuma mana hakuna ndugu yangu kati ya wale 19 lakini hawa wanasiasa wanacheza na akili za watu sana.
Watu wamegombea wakijua kuwa hakuna Tume huru na awamu yenyewe ni Tata kwenye masuala ya vyama. Sasa wamenyolewa kichwa bila maji wanajifaya wanagomea kunyolewa ndevu bila maji!..