Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Serikali iache upumbavu,ATCL sio shirika la kigeni ichukue deni lote na ianze upya la sivyo ikodishe ndege kwenye mashirika yanayoweza Leta faida iachane na biashara hiyo ya kuharibu pesa zetu.Ndege zote ni za serikali. ATCL ni wakodishaji. ATCL wanailipa serikali wanapozitumia. Muwage mnaelewa basi.
Watanzania wengi hawasumbuki na mambo ya gharama za serikali. Wao mradi wanaziona ndege kwa macho basi wanashangilia maendeleo. Tena utasikia hata wapinzani walikuwa wanataka ndege.
Tunajitoa ufahamu tu!! Serekali haitakiwi kufanya biashara!! Wanabebana incompetent peoples ndugu na jamaa!! Unategemea faida!? My foot!!Hili shirika limeanza kula hasara toka lianze kuruka enzi za Mwendazake na deni linazidi kukua,hili deni hasa linasababishwa na nini? Wanakodi nini?
Kuna Siri kubwa Sana Juu ya ununuzi wa hizi ndege. Wataanikana hadharani soon. Mzigo wote utaamgushiwa ofisi ya Rais.Halafu bado wanaongeza ndege nyingine.
Hakika Ma-CCM mi failure wakubwa.
Kama wakumbuka Jiwe ndiye aliziweka chini ya ofisi yake kukwepa asikaguliwe ili madudu yake yasijulikane.Kuna Siri kubwa Sana Juu ya ununuzi wa hizi ndege. Wataanikana hadharani soon. Mzigo wote utaamgushiwa ofisi ya Rais.
Marekani haina shirika lake la ndege la kiserikali. Kuna mashirika binafsi lakini sio ya serikali. Na nchi nyingi za ulaya zimejitoa kwenye hiyo biashara.Naomba kuuliza hivi kila nchi hapa Duniani ina shirika lake la ndege?
Na bado wanaongeza Tena ndege 5 zije kupaki tu. Nchi ya watu wajinga sana hiiKamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
ATCL likifa ni kielelezo tosha kuwa serikali haiwezi kuanzisha na kuendesha kampuni ya ndege - as a going concern. Hakuna mkakati wa maana unaotekelezwa kufufua ATCL zaidi ya serikali kuendelea kutoa mabilioni ya uendeshaji - baada ya mabilioni ya ununuzi.Ficha upumbavu wako ,mzee alikuwa makini,ndege ni za serikali,si Atcl,shirika laweza kufa tukaanzisha shirika lingine kwa ndege hizihzi
Pesa zinatoka wapi? Ni matumizi sahihi ya rasilimali za umma?Najua wengi mtakataa. Lakini naamini hao wakubwa wakizitumia, wanalipia tena in advance
Wabunge wa BUNGE gani hao?Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Si waziache? Kwahiyo ziendelee kuingiza hasara?Ndge zile zilishanunuliwa na mwendazake. Hawana pa kuzipeleka.
Kumbe nyie ni mataahira! Na huyo mungu wenu atakuwa taahira vilevile!Sisi tukamwachia Mungu atende miujiza.... bila hiyana mdudu wa 19 akafanya kazi yake.