Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

Hahaha hao wote CCM sasa wanatuambia mambo yao ili iweje!?

Mbatia anaendelea kucheza movie za ccm, afungiwe Mbatia ili kubariki fungia fungia wanazifanyiwa chadema na Ma ccm na li NEC lao.

Upuuzi tu, bora uendelee KUPURICHI,we are not RECHEABLE your excellency,
 
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo

Kwani huto Yuda iskariote aliwahi kufanya kampeni?? Alizofanyia wapi??
 
Mbona sijawahi kumuona jukwaani akijinadi? Juzi hapa ndio ñilimuona kwenye luninga akitoa maelezo ya kushangaza kidogo, ambayo kwa akili za kawaida unaona maelezo yenyewe ni totally incoherent and highly flawed!!!...
Jiulize kwanini tuhuma zile fake zilipewa airtime?? Mnafiki mkubwa yule mzee anazeeka na laana.
 
Hii ni zuga tu ili isionekane Lissu, Mdee na Seif wanaonewa.

Kwa kifupi, hii inaweza kuwa ni damage control tu baada ya kuwafungia wapinzani wa kweli na pengine kuna adhabu nyingine kwa wapinzani wa kweli inakuja.
Sahihi
 
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo

Bado haikubaliki kuingilia uhuru vyama katika kufanya kampeni ni dalili dhahiri zamtu kutengenezewa mazingira wezeshi
 
Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,

Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
 
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo

Mbowe ajiandae!
 
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Hapana hayo ndio makubaliano kuwa atatumika kuhalalisha au kuonekana wale wapinzani halisi kama Lissu na Maalim sio wanafungiwa wao tu hata Mbatia kwa hiyo sio target. si uliona juzi kasema alitaka kutekwa akija kutekwa mwingine watasema hata Mbatia. This is all game, huyu jamaa ni hatari kuliko CCM maana bora umjue adui yako kuliko adui usiomjuwa hatari sana.
 
Hii kamati ya kitapeli Mama samia kasema hata ukipigia upinzani ccm hawatoiachia nchi na wao wapo kimyaaa
 
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo

Huyu jamaa ni kwamba wamembadilikia au ni maigizoo?
Maana wiki hii Mara kumteka Mara kumfungia hata sielewi hii sinema mwisho wake ni upi
 
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.

Hata kinachofanyika sasa ni moja ya majukumu yake, siamini any movement ya Mama Tanzania, Yani haya akiisema serikali huyo simwamini!
 
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo

Anayetafutwa hapo sio huyo kibaraka..yeye anatumika tuu
 
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Urafiki salama ni wa mwanasiasa na nguvu umma na sio na ccm
 
Back
Top Bottom