Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,

Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Huwezi pata vichwa humu jf, kila mtu anajua nini cha kufanya na kwasababu zake.
Huwezi mfundisha mtu leo kuhusu Lissu au Magufuli, wote tumewaona , tumewasikia na tumewathaminisha.
Wenye vyama vyenu subirini matokeo.
 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesimamishwa kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 17 hadi Oktoba 23, 2020 kwa kosa la kutumia kipeperushi ambacho hakijaidhinishwa na msimamizi wa uchaguzi

wasafifm

Kwakuwa wanaofungiwa wengi wanajulikana ni Maadui na Washindani hasa wa 'MPJ' sasa anafungiwa 'Rafiki' ili 'Kubalansi' lawama na Kutuzuga tu.
 
Bongo movie afu director ni polepole😂😂 lazima ujue nini kinafuata mbele ya movie.poor Nec
 
Mimi ningeiona geresha kama angefungiwa mwana CCM. Hii kwa ufupi Mbatia katemwa na bwana wake!
 
Back
Top Bottom