Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

Kiuhalisia Mbatia katelekezwa
Yaap ni tofauti nadhani na alivyotegemea akikumbuka mipicha ya Ikulu nakuahudiwa chama kikuu cha upinzani bichwa likawa kubwa! alidhani
kuwa chama kikuu cha upinzani unaokota mezani Chadema kesi kila mahali wengine wanapotezwa yeye mjinga anataka apewe akidhani mtawala ndio anapiga kura
 
Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,

Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Ujinga huu aliutumia Mugabe na wapuuzi wengi kule walimuamini kilichotokea Mnangagwa kapitisha Sheria kabisa Mzungu asiguswe upumbafu huo waambieni wale mnaowapakia kwenye mifuso kama mifugo!
 
Upuuzi mtupu.

Tume inawaone Watanzania ni wajinga sana? Hapa ni baada ya Tume kulaaniwa sana ndani na nje ya nchi kwa bogus decision ya kumsimamisha Tundu Lisu. Dhamira yao ni kutaka kuonesha kuwa Tundu Lisu hakuonewa maana kuna wagombea wengine pia walipewa adhabu hiyo hiyo. Tume inavitumia vyama njaa/vyama tumbo kuidhinisha maamuzi yake ili yaonekane ni maamuzi ya kamati ya maadili.

Kama kweli Tume imedhamiria kutenda kazi badala ya vituko na hila:

1) watuambia adhabu waliyompa mgombea wa CCM ambaye amekiuka maadili ya uchaguzi mara nyingi kumzidi mgombea mwingine yeyote

2) Watuambie ni wagombea wangapi wa CCM katika ngazi ya udiwani na ubunge ambao wameunguliwa kugombea kwa kukiuka taratibu mbalimbali.

Watanzania wengi wana akili maradufu kuwazidi watendaji wengi wa Tume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawe na huruma basi..
Sababu zingine zinatumika vibaya!
Au mwaka huu wanataka wabunge wa chama kimoja.?
Pole sana James
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020

Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo

 
Hamna kitu
Labda hatakiwi mbunge mpinzani yoyote kushinda mwaka huu
"Mama Tanzania" hapo anafuatia wa Hai maana sinema inatengenezwa hasa. Ila ukikaa ukijiuliza ina maana wagombea wote wa CCM ni smart sana. Nchi hii ina vibweka mno.
 
CCM ni Kama shetani, Hana urafiki wa kudumu na akishakutumia anakaa pembeni kukuzomea.!
 
i say that hinor should be in place so election not be interfere with our sociietise.tansania is first.say ggod things dont insult and say yuor policies fo what will you do to our country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati yenyewe haina maadili itakuwaje ni Kamati ya maadili?

Maadili gani ya Kamati hii ya kuona wapinzani tu ndo wanaenguliwa kugombea inakaa kimya na sasa wanaosimamishwa kukampeni ni wapinzani tu? Pana Kamati ya maadili hapa au ni [emoji706][emoji706][emoji706]?
 
Mbatia atapewa ubunge wa kuteuliwa na rais, taarifa zimevujaaa..
 
Huyu akishindwa huko Vunjo huenda kwenye zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa na Rais akawepo.
 
Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,

Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Hunaga AKILI
 
Mie pia nanusa kuwa kuna adhabu ya siku 7 inayohusu kina fulani wa upinzani hasa ili wasi conclude kampeni zao vizuri. Sheria ya uchaguzi Tanzania ni mbaya na ya ovyo kuliko sheria zote duniani.

Eti mgombea aweza kuenguliwa kwa kuandika Chama cha Demokrasia na Maendeleo badala ya CHADEMA na mwingine akaenguliwa kwa kuandika Chadema vadala ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Tume ni hiyohiyo yenye vigezo tofauti vya hukumu. Kijisababu kinatafutwa tu ili mtu anayeonekana tishio akwamishwe. Mbatia ni nani? Amefanya kampeni wapi na wapi wakati wa kampeni hii ya uraisi?

Nangojea kuona mizengwe mingi inayohusu mawakala wa wagombea. Hawataapishwa, majina yao hayatawakilishwa vituoni, watakatazwa kuingia vituoni na mizengwe mingine mingi.

Tume ni ya makada wa Ccm, wasimamizi wa kila jimbo ni makada wa Ccm na tutarajie tu migogoro kwa kuwa wanajua hamna njia nyingine ya kushinda ila kwa kuiba tu!


Umezungumza kweli lakini pia jiulize nini kimewafanya upinzani waingie kwenye uchaguzi wakati Tume ya uchaguzi sio huru?
 
Hili mbwiga halijui kuwa fisi hula fisi?
FB_IMG_1570958487510.jpg
IMG-20191216-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom