Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Huwezi pata vichwa humu jf, kila mtu anajua nini cha kufanya na kwasababu zake.Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,
Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Huwezi mfundisha mtu leo kuhusu Lissu au Magufuli, wote tumewaona , tumewasikia na tumewathaminisha.
Wenye vyama vyenu subirini matokeo.