Wakithubutu kumsimamisha Mbowe, watamjengea kuhurumiwa kwa sababu ya kuonewa na wengi zaidi watamchagua kwa sababu hiyo. Hebu wajaribu waone!!!!Anayewindwa ni Mbowe , huyu kafungiwa ili ku balance mambo , kama unabisha subiri .
Tayari waishamtuma mamluki wa ccm kushitaki tume ya maadiliWakithubutu kumsimamisha Mbowe, watamjengea kuhurumiwa kwa sababu ya kuonewa na wengi zaidi watamchagua kwa sababu hiyo. Hebu wajaribu waone!!!!
Kwani huto Yuda iskariote aliwahi kufanya kampeni?? Alizofanyia wapi??Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo
Jiulize kwanini tuhuma zile fake zilipewa airtime?? Mnafiki mkubwa yule mzee anazeeka na laana.Mbona sijawahi kumuona jukwaani akijinadi? Juzi hapa ndio ñilimuona kwenye luninga akitoa maelezo ya kushangaza kidogo, ambayo kwa akili za kawaida unaona maelezo yenyewe ni totally incoherent and highly flawed!!!...
SahihiHii ni zuga tu ili isionekane Lissu, Mdee na Seif wanaonewa.
Kwa kifupi, hii inaweza kuwa ni damage control tu baada ya kuwafungia wapinzani wa kweli na pengine kuna adhabu nyingine kwa wapinzani wa kweli inakuja.
Hiyo ni zuga tu kwani nccr ipo?? Imebaki jina tu.Mfuge chui akikua atakurarua.
Ccm ni zaidi ya shetani
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Bado haikubaliki kuingilia uhuru vyama katika kufanya kampeni ni dalili dhahiri zamtu kutengenezewa mazingira wezeshiKamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo
Mbowe ajiandae!Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo
Changa la macho. Viti maalum huyu
Hapana hayo ndio makubaliano kuwa atatumika kuhalalisha au kuonekana wale wapinzani halisi kama Lissu na Maalim sio wanafungiwa wao tu hata Mbatia kwa hiyo sio target. si uliona juzi kasema alitaka kutekwa akija kutekwa mwingine watasema hata Mbatia. This is all game, huyu jamaa ni hatari kuliko CCM maana bora umjue adui yako kuliko adui usiomjuwa hatari sana.Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Huyu jamaa ni kwamba wamembadilikia au ni maigizoo?Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Anayetafutwa hapo sio huyo kibaraka..yeye anatumika tuuKamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo
Urafiki salama ni wa mwanasiasa na nguvu umma na sio na ccmHuyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Huyu jamaa ni kwamba wamembadilikia au ni maigizoo?
Maana wiki hii Mara kumteka Mara kumfungia hata sielewi hii sinema mwisho wake ni upi