Yaap ni tofauti nadhani na alivyotegemea akikumbuka mipicha ya Ikulu nakuahudiwa chama kikuu cha upinzani bichwa likawa kubwa! alidhaniKiuhalisia Mbatia katelekezwa
Hivi Jecha amehamia bara au yupo kulekule?Mama TANZANIA amefungiwa? Kweli CCM sio watu kabisaaa!!!
Ujinga huu aliutumia Mugabe na wapuuzi wengi kule walimuamini kilichotokea Mnangagwa kapitisha Sheria kabisa Mzungu asiguswe upumbafu huo waambieni wale mnaowapakia kwenye mifuso kama mifugo!Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,
Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Amejificha kulekule Zanzibar Ila analindwa na vikosi maalumuHivi Jecha amehamia bara au yupo kulekule?
Kwenye sheria kuna urafiki?Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba 2020 hadi tarehe 23 Oktoba 2020 kwa mujibu wa Kanuni ya 5.11 (d) ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020
Hiyo ni baada ya Kamati ya Maadili Jimbo la Vunjo iliyokaa Oktoba 16, 2020 kupitia tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 dhidi Mbatia ya kujihusisha na kutumia kipeperushi cha kampeni ambacho hakijaidhinishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Vunjo
"Mama Tanzania" hapo anafuatia wa Hai maana sinema inatengenezwa hasa. Ila ukikaa ukijiuliza ina maana wagombea wote wa CCM ni smart sana. Nchi hii ina vibweka mno.
Kwahiyo na yule Mgombea urais wa kile chama aliesimamishwa kwa hizo siku7 nae amelaniwa?Ukisaliti UKAWA lazima ulaaniwe.
Amuulize Slaa na Lipumba
Hunaga AKILINawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,
Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Mie pia nanusa kuwa kuna adhabu ya siku 7 inayohusu kina fulani wa upinzani hasa ili wasi conclude kampeni zao vizuri. Sheria ya uchaguzi Tanzania ni mbaya na ya ovyo kuliko sheria zote duniani.
Eti mgombea aweza kuenguliwa kwa kuandika Chama cha Demokrasia na Maendeleo badala ya CHADEMA na mwingine akaenguliwa kwa kuandika Chadema vadala ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Tume ni hiyohiyo yenye vigezo tofauti vya hukumu. Kijisababu kinatafutwa tu ili mtu anayeonekana tishio akwamishwe. Mbatia ni nani? Amefanya kampeni wapi na wapi wakati wa kampeni hii ya uraisi?
Nangojea kuona mizengwe mingi inayohusu mawakala wa wagombea. Hawataapishwa, majina yao hayatawakilishwa vituoni, watakatazwa kuingia vituoni na mizengwe mingine mingi.
Tume ni ya makada wa Ccm, wasimamizi wa kila jimbo ni makada wa Ccm na tutarajie tu migogoro kwa kuwa wanajua hamna njia nyingine ya kushinda ila kwa kuiba tu!
Musiba atakubaliana na wewe 100%😂Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka.
Acha uzwazwa, Dr Slaa ni habari nyingine. Huwezi mfananisha na mzee wa MIGAUkisaliti UKAWA lazima ulaaniwe.
Amuulize Slaa na Lipumba