Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

Igizo hili linaletwa kwenu kwa udhamini mkubwa wa Lady Pepeta.
 
Mbona hakupewa fursa ya kukata rufaa, au wamesahau kuandika kipengele hicho?
 
Huyu jamaa wameamua kumtema? Makubaliano ya Ikulu yameisha vipi? Urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka. Akina TL wanaolijua hilo hawana tabu kabisa.
Sheatani hajawahi kuwa na rafiki.
Ukufanya uarafiki naye mwisho wa siku lazima uaibike!
 
Asante sana kamati ya maadili ya Vunjo. Kazi mliyoifanya imetukuka....Mshahara wa dhambi ni mauti. Mbatia umepoteza dira...Chama chako na wewe mmekuwa vituko. Hivi kweli unasapoti wengine kufungiwa? Sasa yamekukuta wewe....Hongera sana Mbatia kwa chama chako kuwa kambi rasmi ya Upinzani! Usaliti ni dhambi kubwa, wasaliti hawajawahi kushinda hata siku moja.
 
Sina imani na tume, hadi wachukuwe hatua kwa wanao ongea kilugha kwenye mikutano, eti kujifanya wanasalimia!
 
...walianza na Lissu, Mara Mdee, Jana Maarim eti na Mbatia! Serious?

Kwani wa CCM ni malaika? Yaani mpk Kibajaj kawa mstaarabu kuliko Maarim Seif? Gwajiboy mzee wa 'gogo' nae kawa mwema kuliko Mbatia???

Double standard will never build our country! Hii nchi sio ya CCM ni nchi yetu sote!!
 
Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,

Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.

Uwe mtumwa wa mzungu mara 2? Mpaka sasa wanatudai zaidi ya 40t pitia kwenye deni letu la taifa ujionee. Kizazi cha kutawaliwa kwa propaganda mfu kiliisha na watu wa aina yako.
 
Ccm wanatuhadaa ili tuone hawaonei vyama siriasi tu. Sasa wanaadhibu mpaka vyama mamluki,
Hizo hadaa tu. Mbatia Ni hawRa yake ccm
 
T
Hii ni zuga tu ili isionekane Lissu, Mdee na Seif wanaonewa.

Kwa kifupi, hii inaweza kuwa ni damage control tu baada ya kuwafungia wapinzani wa kweli na pengine kuna adhabu nyingine kwa wapinzani wa kweli inakuja.
True
 
Hi itakuwa ni propaganda tu ili ccm wawe na kisingizio kuwa: "mbona hata kibaraka wetu mbatia tulimsitishia kampeni?.."
 
Tatizo ni pale unapoingia mchezo bila kufahamu sheria zake. Unaambiwa penati ndo unaanza kuuliza sheria gani hiyo?
 
True. Alidai kutekwa lakini aliweza kumwambia RC na Polisi na wakafika kwenye tukio na kuwakamata wahusika. Isidingo hii ! Hivi mtekaji gani asikuzabe hata vibao tu kukuchangamsha badala yake anakupa muda wa kufanya mawasiano nyeti km hayo? Sawa, sasa tunataka kujua hao watu ni kina nani na lengo lao lilikuwa ni nini hasa.
 
Nawaasa watanzania wenzangu kuepuka kumpa kura Lisu kwani watageuzwa watumwa wa wazungu jambo ambalo babu zetu walishalikataa,

Tuwaenzi babu zetu kwa kumkataa Lisu na wazungu wake.
Wewe kapige kura yako kwa umtakaye. Acha kuimba mashairi yasiyo na vina.
 
Ata kama, vp kwa chama chake?? Kiafaidika vp kwa mbatia kupewa viti maalum??
Sioni faida ya kumBAN
Hujaelewa. Wanampiga ban ili ionekane sio kila siku Chadema tu ndio wanaopigwa ban. Wapo na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…