Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kwenye initial name Huku TRA wanazingua yaani kwenye vyeti vya shule jina la kati likiwa initial wanaweza wakazingua ???muda huu ndio mkague vyeti vyenu majina kama yanatofautiana kwenye cheti cha kuzaliwa na vyeti vya shule ukatafute deed pole mapemaaa lasivyo utachoma nauli yako buree cheti cha kuzaliwa umaendikwa MIRIAM cha shule MARRY unaishia mlangoni
Sijajua kwa sasa itakuaje,ila mimi nilipitia utumishi.Vipi kwenye initial name Huku TRA wanazingua yaani kwenye vyeti vya shule jina la kati likiwa initial wanaweza wakazingua ???
Mfano:
Vyeti vya shule: Abuu J. Mwanakijiji
NIDA na cheti cha kuzaliwa Abuu Juma Mwanakijiji
hyo sijui hila kuna mdogo wangu alikuwa majina yametofautiana herufi ya mwisho mfano kwenye cheti cha chuo ipo MARIAM hila cha kuzaliwa kina MARIAMU tofauti hyo U ya mwisho na alikaziwaVipi kwenye initial name Huku TRA wanazingua yaani kwenye vyeti vya shule jina la kati likiwa initial wanaweza wakazingua ???
Mfano:
Vyeti vya shule: Abuu J. Mwanakijiji
NIDA na cheti cha kuzaliwa Abuu Juma Mwanakijiji
Katika hao waombaji 135,027 wengi wao wapo kwenye ajira zingine ila wanatamaa hawaridhiki na sehemu walipo wanaona bora wakawazibie wenzao ambao hawana ajira yoyoteLeo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali.
Kutokana na idadi kubwa ya waombaji ikilinganishwa na nafasi zilizopo, ushindani unatarajiwa kuwa mkali. Hivyo, ni muhimu kwa waombaji kujipanga na kujiandaa vyema.
Utumishi kule hawana shida mkuu mwezi wa 10 mwaka jana nipiga saili hawakunizinguaSijajua kwa sasa itakuaje,ila mimi nilipitia utumishi.
Vyeti vyangu vinasomeka hivi
Mfano vyeti vya form 4 &6 vinasomeka Jakaya M. kikwete.
Vyeti vya chuo,kuzaliwa na NIDA vinasomeka hivi Jakaya Mrisho Kikwete.
Na sijawahi kuzinguliwa kabisa ktk zile harakati zangu za kusaka ugali kupitia utumishi.
Interview iliyopita ilifanyika DUCE- Keko walikiwepo waajiriwa kibao Tena wamekuja na gari zao kabisa wengi wanatoka taasisi za serikali na ma benki walikuja kukaba nafasi za wasio na ajiraHao ndo wanaozingua mkuu walishapata cheq no. bado hawaridhiki 😥😥
Inategemea utakaemkuta mlangoni siku hyo siku hazifanani nakumbuka mmoja aliambiwa nakuruhusu kuingia hila kwenye oral kama hauna deed hauingiiUtumishi kule hawana shida mkuu mwezi wa 10 mwaka jana nipiga saili hawakunizingua
kwahyo hao laki 135 bila hao wanaotaka kuhama maofisi ukute mngekuwa elfu 50Interview iliyopita ilifanyika DUCE- Keko walikiwepo waajiriwa kibao Tena wamekuja na gari zao kabisa wengi wanatoka taasisi za serikali na ma benki walikuja kukaba nafasi za wasio na ajira
Hapo tunajaa taifa ,uhuru,chamazi,kmc,major isamuyo,kwa mwamposa,gwajima, mpaka magufuli terminalLeo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali.
Kutokana na idadi kubwa ya waombaji ikilinganishwa na nafasi zilizopo, ushindani unatarajiwa kuwa mkali. Hivyo, ni muhimu kwa waombaji kujipanga na kujiandaa vyema.
HYO IDADI WALIOOMBA SASA UNAFIKIRI WATAITWA WOTE HAO WALIOOMBA?MAANA WALIO ATTACH TRANSCRIPT HAWAKOSI HUMO NA AMBAO HAWAJA VERIFY YATATAFUTWA MAKOSA MADOGO MADOGO INIMLADI WAKUCHOMOE.Hapo tunajaa taifa ,uhuru,chamazi,kmc,major isamuyo,kwa mwamposa,gwajima, mpaka magufuli terminal
Daah ngoj tupambane nao tu mkuu wanatubania ridhikiInterview iliyopita ilifanyika DUCE- Keko walikiwepo waajiriwa kibao Tena wamekuja na gari zao kabisa wengi wanatoka taasisi za serikali na ma benki walikuja kukaba nafasi za wasio na ajira
Kwel kiongoz hapo lazim watafute sabab za kuwachomoa watuHYO IDADI WALIOOMBA SASA UNAFIKIRI WATAITWA WOTE HAO WALIOOMBA?MAANA WALIO ATTACH TRANSCRIPT HAWAKOSI HUMO NA AMBAO HAWAJA VERIFY YATATAFUTWA MAKOSA MADOGO MADOGO INIMLADI WAKUCHOMOE.
Na kama cheti chako ni og kila kitu ila kimechakaa(form 4) wanaruhusu uingie?Sijajua kwa sasa itakuaje,ila mimi nilipitia utumishi.
Vyeti vyangu vinasomeka hivi
Mfano vyeti vya form 4 &6 vinasomeka Jakaya M. kikwete.
Vyeti vya chuo,kuzaliwa na NIDA vinasomeka hivi Jakaya Mrisho Kikwete.
Na sijawahi kuzinguliwa kabisa ktk zile harakati zangu za kusaka ugali kupitia utumishi.