Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Hii ndio Taarifa mpya kutokea huko Zanzibar , kwamba zile kelele kwamba kuna watu walikamatwa kwa kula mchana wa Ramadhan ulikuwa Uzushi tu wa wale wasioitakia mema Nchi hiyo

Habari mpya ni kwamba wale jamaa walikamatwa na Msuba , Bali bado hatujajua na ile Hotel ya kitalii iliyopigwa faini kwa wageni wake kula hadharani nao walidakwa na nini .

Screenshot_2024-04-02-13-00-39-1.png
 
Upuuz wenu WA dini za kuletewa watu washindwe kula?

Waislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la dunia

Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu

Mfano wakristo walikuwa kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha ukijionyesha onyesha mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya kuanzia mawazo hadi vitendo waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu

Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri

Sasa mwanamke akionesha kapaja tu au kabega kake wazi kidume cha kiislamu kadude kake katikati ya mapaja kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala wabakuwa fresh tu

Biblia inatamka wazi Mathayo 6:16-18

[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso

[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.

KUFUNGA SIO MATANGAZO
 
Mimi nilijua tuh,kumbe makafiri walikamatwa na bangi wakasingizia wanapigwa eti kisa kula mchana,hovyo kabisa hao
 
Hii ndio Taarifa mpya kutokea huko Zanzibar , kwamba zile kelele kwamba kuna watu walikamatwa kwa kula mchana wa Ramadhan ulikuwa Uzushi tu wa wale wasioitakia mema Nchi hiyo

Habari mpya ni kwamba wale jamaa walikamatwa na Msuba , Bali bado hatujajua na ile Hotel ya kitalii iliyopigwa faini kwa wageni wake kula hadharani nao walidakwa na nini .

View attachment 2951549
Kulikuwa na video clip iliyoonyesha askari polisi akikiri kuwa walikamatwa kwa kosa la KULA..

Hii ni propaganda wamepika baada ya kugundua ni makosa kupiga fimbo, kukamata na kuweka ndani watu wasio na hatia, eti kwa "kosa" la kula chakula mchana!!!..
 
✍️🧠Linapokuja swala la kulazimisha mtu afuate unachokiamini ktk imani, inamaanisha hakuna maana ya kungoja hiyo hukumu unayo ihubiri kwa watu ktk kuingoja, mana tayari umeshaanza kuitoa wewe na sio Mungu kama unavyohubiri watu

kwa Mungu kuna pande mbili tu,
1.kumkubali/kumkiri
2.Au kumkataaa

Yeye hana Neutral

Basi kwa upendo wake ake akakupa uhuru wa kuchagua, Maana kila ulitendalo ni matokeo ya ulichokiwaza/kukifikiri,

Angelikuwa na hasira kama hizo walizoonyesha police, hapa duniani pasingekuwapo na mtu.

Wapendwa tupendane mwenye maamuzi ya mwisho ni Mungu mwenyewe 🙏🙏 ❤️🇹🇿
 
Kulikuwa na video clip iliyoonyesha askari polisi akikiri kuwa walikamatwa kwa kosa la KULA..

Hii ni propaganda wamepika baada ya kugundua ni makosa kupiga fimbo, kukamata na kuweka ndani watu wasio na hatia, eti kwa "kosa" la kula!!!..
Weee bwana weee !!!
 
Back
Top Bottom