Tena hii hapa polisi wenyewe wakitamba kuwakamata wanaokula mchana RamadhaniMbona video inajieleza kabisa?
View: https://youtu.be/f8sbQPX8It8?si=sFbDPKciuFiVti1w
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hii hapa polisi wenyewe wakitamba kuwakamata wanaokula mchana RamadhaniMbona video inajieleza kabisa?
Na wao huwepo kuwapa usalama wa kazi yao hy mamlaka....Kwamba mamlaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana.....
Kama polisi wa bongo
Mbona video inajieleza kabisa?
😆😆😆😆 yaani Washikaji wanapewa kesi ya bangi mchana kweupe yaani !!Wameingia kichakani KUJIFICHA
Upuuz wenu WA dini za kuletewa watu washindwe kula?
Kulikuwa na video clip iliyoonyesha askari polisi akikiri kuwa walikamatwa kwa kosa la KULA..Hii ndio Taarifa mpya kutokea huko Zanzibar , kwamba zile kelele kwamba kuna watu walikamatwa kwa kula mchana wa Ramadhan ulikuwa Uzushi tu wa wale wasioitakia mema Nchi hiyo
Habari mpya ni kwamba wale jamaa walikamatwa na Msuba , Bali bado hatujajua na ile Hotel ya kitalii iliyopigwa faini kwa wageni wake kula hadharani nao walidakwa na nini .
View attachment 2951549
Weee bwana weee !!!Kulikuwa na video clip iliyoonyesha askari polisi akikiri kuwa walikamatwa kwa kosa la KULA..
Hii ni propaganda wamepika baada ya kugundua ni makosa kupiga fimbo, kukamata na kuweka ndani watu wasio na hatia, eti kwa "kosa" la kula!!!..
Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...www.jamiiforums.com
Hii hapa chini..Weee bwana weee !!!