Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Twende na Lissu,.....

ile pombe sijui chang'aa rudisha huko burigi...

#mitano ya wahutu imetosha#
Hiyo pombe atainywa mwenyekiti, ihifadhini tuu.
JamiiForums1171215835.jpg
 
Mwaka 2015 huu ndio uliluwa umati pale Mbeya mjini ngoja tuone leo Lisu atapata idadi gani maana anajifanya yeye ni zaidi ya Lowasa

1599214798109.png
 

Attachments

  • 1599214713617.png
    1599214713617.png
    165.1 KB · Views: 1
Kwanini anatengeneza misururu ya watu huyu tundulisu kwa kipindi hiki cha korona?
Inamaana chadema na nyie mumekubali kuua wanainchi wa Tanzania jamaaniii?
Chadema na tundulisu kwanini mnatengeneza misongamano ya watu huku mkijua korona ipoo??
Au mnaunangana na MAGUFULI anasema korona haipo Tanzania?
Semeni ukweli au nanyie mumeshaunga juhudi za raisi magufuli???
Sio kila post lazima uchangie nyingine unapita kimya kimya tu sio mbaya
 
Back
Top Bottom