Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Akitoka mbeya aende tunduma, mbeya vijijini, mbarari, rungwe kote huko atembee
 
Rais mtarajiwa wa Mioyo ya CDM na siyo Rwis mtarajiwa JMT.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wananchi wa Mbeya vijijini wakimsubiri Rais wao Lissu barabarani akiwa njiani kuelekea Mbeya Mjini
FB_IMG_1599301244872.jpg
FB_IMG_1599301235116.jpg
FB_IMG_1599301228563.jpg
 
Mwaka 2015 huu ndio uliluwa umati pale Mbeya mjini ngoja tuone leo Lisu atapata idadi gani maana anajifanya yeye ni zaidi ya Lowasa

View attachment 1559263
Nyie mbwa mlisema akienda Mwanza hatapata hata mtu mmoja.... Haya kavunja rekodi zote kwa umati wa maelfu kwa maelfu.......
Acheni kujitoa ufahamu
 
Lazima aapishwe tu bwana yule ameshakiri hadharani
 
Back
Top Bottom