Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Nimepishana na msafala wake maeneo ya Mwanjelwa, huyu jamaa amepata mapokezi makubwa sana. Ingekuwa mikoa yote wameamka kama hawa Mbeya, kwa maoni yangu kusingekuwa na chama kinaitwa CCM madarakani.
asante kwa ushuhuda
 
IMG_20200905_160501.jpg
 
Jiwe mwenyewe hahitajiki ije kuwa huyo Tulia aliyeingizwa bungeni kwa mlango wa nyuma. Asisahau kuwataja wazee wa goli la mkono waliopitisha ubunge wa viti maalum bila kupingwa ili waende Zanzibar kusaidia kuiba kura kama walivyofanya 2015 kwenye chumba chao masaki .View attachment 1559451
Asimame atubu kwanza kwa madhambi yote aliyofanya kwa waTz na nchi yao na MUNGU wetu muumba.
 
Mbeya mjini inawapiga kura zaidi ya laki moja, hapo kuna wastani Wa watu 15 elfu. Ingawa sijaona picha ya drone.

Wapo wapiga kura laki moja siwaoni hapo. Ngoja tusubiri Tulia naye tutathimini
 
Mbeya mjini inawapiga kura zaidi ya laki moja, hapo kuna wastani Wa watu 15 elfu. Ingawa sijaona picha ya drone.

Wapo wapiga kura laki moja siwaoni hapo. Ngoja tusubiri Tulia naye tutathimini
Kwani ni wakati wa kupiga kura?
 
Mbeya mjini inawapiga kura zaidi ya laki moja, hapo kuna wastani Wa watu 15 elfu. Ingawa sijaona picha ya drone.

Wapo wapiga kura laki moja siwaoni hapo. Ngoja tusubiri Tulia naye tutathimini
Huwezi kulaumiwa, matumaini yanaongeza maisha!! Hapo ukizingatia na dawa, mwaka utaumaliza na mchakato wa transition of power utauona!
 
Back
Top Bottom