Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Ndoto za mchana bila tathmini ni ndoto zisizo na matumaini.Huwezi kulaumiwa, matumaini yanaongeza maisha!! Hapo ukizingatia na dawa, mwaka utaumaliza na mchakato wa transition of power utauona!
Hapo Mbeya Tulia atashinda asubuhi, wapiga kura wako home na wengine wanendelea na shughuli zao. Maamuzi wlishafanya zamani sana. Tukutane October 28