Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Tunataka picha za angle ya juu, picha za drone.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia hiyo hapo usipate shida
20200905_165540.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAADA ya kuwa tunawashambulia kwa kuweka picha za kuchakachua za 2015 SASA mumekuja na staili ya kuweka zenye giza ambako hadi sura mnazifunika na giza baada ya ku edit za 2015 za Lowasa

Hongereni kitengo cha editing cha CHADEMA kwa usanii

View attachment 1559578
Utaelewa safari hii, naleo hamtakaa muwasahu wana mara
20200905_165540.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kamera mnazo wakuu,mbona pengine huwa hamrushi picha
 
BAADA ya kuwa tunawashambulia kwa kuweka picha za kuchakachua za 2015 SASA mumekuja na staili ya kuweka zenye giza ambako hadi sura mnazifunika na giza baada ya ku edit za 2015 za Lowasa

Hongereni kitengo cha editing cha CHADEMA kwa usanii

View attachment 1559578
Ukilificha pengo kwa kutabasamu kicheko kikija litaonekana pengo lao ni oct 28 hawana ujanja paka vimburu wezi wa mboga vyunguni!
 
Msiwalazimishe wana Mbeya wampende mtu wenu !!!! Kama JIwe anampenda sana Tulia si amesema yeye ana kazi nyingi za kugawa ampe ile aliyoomba kumpa Lissu kwani Lissu hata siku moja hawezi kuwa muimba kwaya!!
 
Ukilificha pengo kwa kutabasamu kicheko kikija litaonekana pengo lao ni oct 28 hawana ujanja paka vimburu wezi wa mboga vyunguni!
Safari hii mtatukana sana hadi matusi mengine mtalazimika kwenda kuyanunua kwa jirani zetu.

Nakuona unakomba vyungu kama ulivyo sema maana aliwazalo mjinga ndiyo umtokea.
FB_IMG_1595186692594.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia angalia kama kuna malori ya sombasomba hapo uniambie
Mkuu hapa ni damu imetumika kama diesel au petrol, watu wapo committed na cdm.

Cdm ipo mioyoni mwa wananchi wengi sana. Fikiria hiyo ni baada ya miaka mitano ya kufungiwa kufanya mikutano na wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom