Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tulia hiyo hapo usipate shidaTunataka picha za angle ya juu, picha za drone.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia hiyo hapo usipate shidaTunataka picha za angle ya juu, picha za drone.[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaelewa safari hii, naleo hamtakaa muwasahu wana maraBAADA ya kuwa tunawashambulia kwa kuweka picha za kuchakachua za 2015 SASA mumekuja na staili ya kuweka zenye giza ambako hadi sura mnazifunika na giza baada ya ku edit za 2015 za Lowasa
Hongereni kitengo cha editing cha CHADEMA kwa usanii
View attachment 1559578
enɗeleeni ƙulialiaCHADEMA wanaedit picha. Hakuna ukweli wowote ndo maana hawataki media zirushe mikutano yao live
Yeah mmejitahidi , Ni Kama wale niliowaona kule Mara leo..!
Mbeya hawananga unafiki najivunia kuwa mwana mbeya
Waedit mpaka wafanyaje oct 28 kipigo cha paka kimburu wanayo tu!CHADEMA wanaedit picha. Hakuna ukweli wowote ndo maana hawataki media zirushe mikutano yao live
Tatizo mara ccm leo wametolewa nishai na wana maraYeah mmejitahidi , Ni Kama wale niliowaona kule Mara leo..!
Hujui drone zimefungiwa mpaka usajili upya fitina za CCM siyo mchezoTunataka picha za angle ya juu, picha za drone.😂😂😂
Ukilificha pengo kwa kutabasamu kicheko kikija litaonekana pengo lao ni oct 28 hawana ujanja paka vimburu wezi wa mboga vyunguni!BAADA ya kuwa tunawashambulia kwa kuweka picha za kuchakachua za 2015 SASA mumekuja na staili ya kuweka zenye giza ambako hadi sura mnazifunika na giza baada ya ku edit za 2015 za Lowasa
Hongereni kitengo cha editing cha CHADEMA kwa usanii
View attachment 1559578
😂😂😂😂 Aiseeh🤔, nilisahau bnHujui drone zimefungiwa mpaka usajili upya fitina za CCM siyo mchezo
Safari hii mtatukana sana hadi matusi mengine mtalazimika kwenda kuyanunua kwa jirani zetu.Ukilificha pengo kwa kutabasamu kicheko kikija litaonekana pengo lao ni oct 28 hawana ujanja paka vimburu wezi wa mboga vyunguni!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....BAADA ya kuwa tunawashambulia kwa kuweka picha za kuchakachua za 2015 SASA mumekuja na staili ya kuweka zenye giza ambako hadi sura mnazifunika na giza baada ya ku edit za 2015 za Lowasa
Hongereni kitengo cha editing cha CHADEMA kwa usanii
View attachment 1559578
Mkuu hapa ni damu imetumika kama diesel au petrol, watu wapo committed na cdm.Mmawia angalia kama kuna malori ya sombasomba hapo uniambie
Hapo bi kidude atakuwa ameanza kumeza septrin maana lazima apatwe na tumbo la kuharaMbeya hawataki upuuzi wa wezi ccmView attachment 1559585