Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

CHADEMA wanaedit picha. Hakuna ukweli wowote ndo maana hawataki media zirushe mikutano yao live
Hebu angalieni video mapokezi ya Lisu mfano tu mwanza, utasema ile ni edit? Mapokezi ya Maalim seif Zanzibar zile ni edit?
Na kumbuka vyama hivi havipewi coverage yakutosha katika media zote hawana matangazo wala offer za lift magari ya bure
Ninavyoelewa Mimi kwa kadri hivi vyama vinavyozidi kubanwa ndiyo vinazidi kupaishwa juu zaidi na zaidi... Tuko hapa mtanambia
 
Subpost 5 - Mbeya ( 424 X 640 ).jpg
Subpost 4 - Mbeya ( 424 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mbeya ( 425 X 640 ).jpg
Mbeya ( 640 X 640 ).jpg
Mbeya umetisha ( 480 X 640 ).jpg
 
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa .

Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais wa Tanzania Mh Lissu atakuwepo Viwanja vya Ruanda Nzovwe , ambapo atazindua kampeni za kanda hiyo , lakini kubwa zaidi ni kuwataja hadharani viongozi wote wanaohujumu uchaguzi huu na ahadi walizopewa na hata hela walizolipwa .

View attachment 1559139

UPDATES
========

View attachment 1559436

Video : Mapokezi yake mazito yasababisha barabara kuanza kupata nyufa , jionee mwenyeweView attachment 1559596View attachment 1559597View attachment 1559598View attachment 1559599View attachment 1559600
Chadema mna edit picha kwa faida ya nani ?
 
freedom is comming tommorow
 
Back
Top Bottom