ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hebu angalieni video mapokezi ya Lisu mfano tu mwanza, utasema ile ni edit? Mapokezi ya Maalim seif Zanzibar zile ni edit?CHADEMA wanaedit picha. Hakuna ukweli wowote ndo maana hawataki media zirushe mikutano yao live
Na kumbuka vyama hivi havipewi coverage yakutosha katika media zote hawana matangazo wala offer za lift magari ya bure
Ninavyoelewa Mimi kwa kadri hivi vyama vinavyozidi kubanwa ndiyo vinazidi kupaishwa juu zaidi na zaidi... Tuko hapa mtanambia