Uchaguzi 2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

Hawezi kubali hàta akiwa kwenye hatua za mwisho za uhai wake.Aweke Tume Huru hajipendi?Acha ng'ombe achinjwe jinsi alivyolala au alivyonguka.Tutamgeuzia Kiblah wakati wa kumchuna na kumla.
Tusikubali,hata kwa Tume hii tukipiga kura kwa wingi na kuzilinda halafu tunazihesabu tukiwepo hadharani kama walivyofanya wajumbe,tuone kama atapata ngapi.Akishinda kihalali atangazwe,vinginevyo ni ubatili na hatutakuwa tayari. No Hate No Fear.
 
Sema CCM wengi ni mafukara hata mlo wa siku unawashinda wataziweza smartphone?

Wewe ushukuru tu hilo bando la Lumumba vinginevyo tusingekusoma humu!
Ni shida sana mtu unapoamua kuidanganya hata nafsi yako mwenyewe!

Ccm inajua nini inafanya, nyie endeleeni kushabikia kelele za mitandaoni
 
Kwa sanduku la kura ccm wataangukia pua saa 2 asubuhi.. ila kwa wizi wanaweza kupeta
 
Na hii ndo kauli mbiu ya mwaka huu. Tunapiga kura kituoni, tunazilinda, tunashuhudia zikihesabiwa kwa uwazi hapohapo na matokeo yote kuanzia udiwani, ubunge hadi uraisi yanatangazwa hapo hapo kituoni. Mwaka huu ndo mwisho wa udhalimu wote wa CCM kama wanaweza watupige risasi wote. Arrest warrant ya ICC zinawasubiri!
 
Ukweli mchungu huu.. hata jecha na Lubuva ni mashahidi
 
Lissu atashangazwa kivipi wakati kwa opinion poll anaongoza kwa asilimia 70+. Hakuna namna magufuli anaweza mshinda Tundu Lissu ndugu yangu nakwambia. There is no way. Never
Weka hapa tuone,

Baada ya oktoba tunataka tuone hizi id zenu zikiwa active kama hivi sasa msije mkajificha kwa id mpya tu
 
Hoja fikirishi.. yanatakiwa majibu makini hapa
 
Tatizo lako unaiangalia tz kupitia facebook, jf, twitter na Instagram.
 
Weka hapa tuone,

Baada ya oktoba tunataka tuone hizi id zenu zikiwa active kama hivi sasa msije mkajificha kwa id mpya tu
Tukutane October ndugu. Mie nakuonea huruma wewe. Watu tunaenda kuandika historia Tanzania mwaka huu!!
 
Ni wewe pekeeako ndio mwenye hicho kitambulisho!

Hivi mtu na akili zake yuko hapa anamshabikia Lisu na kusema Magufuli mwisho wake umefika alafu kesho unamsikia anaulizia kadi ya kura wakati huu?

Hamko serious aisee.
 
Kama hizi porojo zako ni kweli, kwa nini mmekuwa mkitumia fedha nyingi saana za umma kununua madiwani na wabunge wa upinzani?? Ccm ishachokwa kitambo mkuu
 
Kwa mitandaoni Magufuli aka Yesu kapigwa vibaya mno na mbeba maono mwana wa Africa Tundu Lissu!
Hakika lina heri tumbo lililomzaa
Koma kutamka jina la YESU kwenye upuuzi wako..
 
Ni wewe pekeeako ndio mwenye hicho kitambulisho!

Hivi mtu na akili zake yuko hapa anamshabikia Lisu na kusema Magufuli mwisho wake umefika alafu kesho unamsikia anaulizia kadi ya kura wakati huu?

Hamko serious aisee.
Mi mwenyewe nawashangaaa eti Lissu aingie ikulu 😆😆
 
Huko kwenye kombe si ndio kama ule uchaguzi wa SM za mitaa ambao hata mnaona aibu kuungolea?
Mkuu,! Ushindi haujawahi kupatikana kupitia coment za jf, fecebook, twitter na Instagram,

Kura zipo huku kitaa huku ndio unaweza kuchukua sample ya ushindi,
 
Mkuu kwani sasa si ufanye hivyo? Au unasubiri nani afanye?
 
Utaratibu unaopendekeza hapa ni mzuri, lkn je umeidhinishwa? Maana policcm watafukuza watu vituoni ili kupisha wizi wa ccm yao!
 
Utaratibu unaopendekeza hapa ni mzuri, lkn je umeidhinishwa? Maana policcm watafukuza watu vituoni ili kupisha wizi wa ccm yao!
Wajaribu kufukuza tu ila wajue kuna arrest warrant zipo standby ICC
 
Ni wewe pekeeako ndio mwenye hicho kitambulisho!

Hivi mtu na akili zake yuko hapa anamshabikia Lisu na kusema Magufuli mwisho wake umefika alafu kesho unamsikia anaulizia kadi ya kura wakati huu?

Hamko serious aisee.

Sioni tatizo sana maana sio kila mwenye kitambulisho anapiga kura. 2015, wapiga kura walikuwa 22m+, lakini waliopiga hawakuvuka 15m+.watu milioni 6+ hawakupiga kura. Hiyo maana yake ni kuwa 1/3 hawakupiga kura. Yaani kila watu watatu waliojiandikisha kupiga kura, mmoja hakupiga kura.

Kwa taarifa yako hata idadi ya wapiga kura iliyojiandikisha kupiga kura 2015 inaweza isifikiwe na wapiga kura wa safari hii, na wangalau ujio wa Tundu Lisu ndio utapandisha idadi ya wapiga kura. Kubali kataa, bila cdm kukaza kuwa watashiriki uchaguzi huu, wapiga kura wasingeweza kufika 10m, maana kitendo cha wapinzani wenye ushawishi kususia, automatically uchaguzi unakosa mvuto, ambapo hata wanaccm hawawezi kuhamisika.

Ni ukweli usiopingika kuwa cdm inakubalika zaidi na vijana, huku ccm ikikubalika na wazee zaidi, vijana wenye uelewa finyu na wachache wasaka fursa. Kwa mwenendo wa awamu hii ya tano ilivyonajisi box la kura, imesababisha box la kura kudharauliwa sana na wananchi wengi, hivyo vyama vyote vitagombea wapiga kura chini ya 20m, ambao wengi ni wenye vitambulisho vya 2015.
 
Kwa humu Jf hakika chadema imechukua nchi! Shida ni kwenye box la kura....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…