Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Arusha mechi ya simba bure, pia wameweka tamasha la muziki bure lakini viwanja vya reli kwa Lissu tumetisha,
Nimeangalia mpira Azam, uwanja inaonekana kuwa na kamisaa, refa, waamuzi wasaidizi, benchi la ufundi timu zote mbili na wakota mipira

Hata ndege wanyama wamekataa kupitisha mabawa yao.
 
Sisi tuliyoko mbali na Arusha turushieni picha hapa JF
 
Hawachelewi kulalamika kua mke wa Makonda kajifungua mapacha ili kuwafanya watu wafuatilie habari za Makonda kuliko za Lisu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu kwa nyomii hii napigaje kwa mfano. Yan nimefunikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…