Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Arusha mechi ya simba bure, pia wameweka tamasha la muziki bure lakini viwanja vya reli kwa Lissu tumetisha,
Nimeangalia mpira Azam, uwanja inaonekana kuwa na kamisaa, refa, waamuzi wasaidizi, benchi la ufundi timu zote mbili na wakota mipira

Hata ndege wanyama wamekataa kupitisha mabawa yao.
 
Sisi tuliyoko mbali na Arusha turushieni picha hapa JF
 
Na huko kwenye tamasha na mechi ya bure inatakiwa upate picha uje uamzishe na thread kabisa tuyakomeshe
Uwanja ni mweupe na mechi imeshaanza.


Arusha hakuna mjinga Kama huko kwenu
IMG_20200831_164633.jpeg
 
Hawachelewi kulalamika kua mke wa Makonda kajifungua mapacha ili kuwafanya watu wafuatilie habari za Makonda kuliko za Lisu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpiga picha wewe Ni mjinga badala ya kupiga picha iliyo na coverage kubwa wewe unapiga visogo vya watu,, jaribu kujiheshimu Basi na kuheshimu sura za watu.

Piga picha kwa angle ya juu ambayo siyo rahis mtu kufahamika siyo hiyo unapiga watu halafu unawaleta hapa Jf.
Mkuu kwa nyomii hii napigaje kwa mfano. Yan nimefunikwa
 
Back
Top Bottom