mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Umetoa sh ngap hadi sasa
Buku tu kamanda ndio hadhi ya bakuli hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoa sh ngap hadi sasa
Na huko kwenye tamasha na mechi ya bure inatakiwa upate picha uje uamzishe na thread kabisa tuyakomesheNtaleta mkuu Tuliza [emoji460], nipo kiwanjan, chezea Bushmamy weye
Tuombe picha sasa za kutosha za eneo la tukio
Nimeangalia mpira Azam, uwanja inaonekana kuwa na kamisaa, refa, waamuzi wasaidizi, benchi la ufundi timu zote mbili na wakota mipiraArusha mechi ya simba bure, pia wameweka tamasha la muziki bure lakini viwanja vya reli kwa Lissu tumetisha,
Naona jamaa kavaa buti la jeje..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasije wakaanza figisu kwa Jambo jet View attachment 1554234View attachment 1554235View attachment 1554237View attachment 1554240
Hivi huyu si ndo huwa anapiga Vita manunuzi na matumizi ya ndege Tanzania mbona ananing'iniza mashavu yake Hapo, Si angepanda Maji na Demokrasi Maana ndo anapenda.Wasije wakaanza figisu kwa Jambo jet View attachment 1554234View attachment 1554235View attachment 1554237View attachment 1554240
Na huko kwenye tamasha na mechi ya bure inatakiwa upate picha uje uamzishe na thread kabisa tuyakomeshe
Uwanja ni mweupe na mechi imeshaanza.Na huko kwenye tamasha na mechi ya bure inatakiwa upate picha uje uamzishe na thread kabisa tuyakomeshe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawachelewi kulalamika kua mke wa Makonda kajifungua mapacha ili kuwafanya watu wafuatilie habari za Makonda kuliko za Lisu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nyie kwa uongo wenu huo ndo mnataka wananchi wawaamini!!??Arusha mechi ya simba bure, pia wameweka tamasha la muziki bure lakini viwanja vya reli kwa Lissu tumetisha,
Check nyomi ya Wana Arusha wakimpokea Rais wao mtarajiwa....!
Hakika inapendeza sana tu....🙏
Mpiga picha wewe Ni mjinga badala ya kupiga picha iliyo na coverage kubwa wewe unapiga visogo vya watu,, jaribu kujiheshimu Basi na kuheshimu sura za watu.
Yaani na hako kauchochoro mmeshindwa kukajaza aisee!!??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ntaleta mkuu Tuliza [emoji460], nipo kiwanjan, chezea Bushmamy weye
Nasikia Mechi imedoda watu wako kwa Chadema hahahaha saaafi sana
Mkuu kwa nyomii hii napigaje kwa mfano. Yan nimefunikwaMpiga picha wewe Ni mjinga badala ya kupiga picha iliyo na coverage kubwa wewe unapiga visogo vya watu,, jaribu kujiheshimu Basi na kuheshimu sura za watu.
Piga picha kwa angle ya juu ambayo siyo rahis mtu kufahamika siyo hiyo unapiga watu halafu unawaleta hapa Jf.