Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Naona bado mnapiga picha kwa kutafuta angle.
Ebu tupia aerial Kama ile ya TBC!
 
Hii figisu ya kuandaa tamasha la wasanii bado haijalipotiwa kwa bwn Amstardam!?
au tusuburi kesho.....
hii sio kabisa ni ukiukwaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…