Wewe Sugu tuheshimiane, komaa na kampeni zakoBmkubwa unahangaika sana, tuliza wenge basi japo kwa dk kadhaa sindano ipenye tunduni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Sugu tuheshimiane, komaa na kampeni zakoBmkubwa unahangaika sana, tuliza wenge basi japo kwa dk kadhaa sindano ipenye tunduni!
Aibu kubwa sana kwa CCM, Magufuli atangaze kujitoa kwenye uchaguzi maana hatashinda.na akishindwa alivyo mwepesi wa kuamua anachotaka anaweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa.Yaani hakuna watu kabisa. Hii ni aibu kwa chadema
Sasa hivi mtupe heshima yetu msipotupa tunaichukua kwa nguvu! Hatuwezi kuchekeanachekeana safari hii.Wewe Sugu tuheshimiane, komaa na kampeni zako
HujielewiJifarijini na miujizaaa, hatuko tayariii kutoa uraisi wa kifuta machoziiii.
Una miaka michache sana ya kuishi duniani life expectancy ya Tanzania ni miaka 60 ikizidi sana 65!Eti hiki ndio chama cha kushindana na ccm. Cdm pumzi imekata mapema sana.
akili za maiti in the areaYaani hakuna watu kabisa. Hii ni aibu kwa chadema
Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Aibu kubwa sana kwa CCM, Magufuli atangaze kujitoa kwenye uchaguzi maana hatashinda.na akishindwa alivyo mwepesi wa kuamua anachotaka anaweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa.View attachment 1554461View attachment 1554462View attachment 1554463View attachment 1554464
Pamoja na ushawishi wa Mpira na tamasha bila malipo,Sasa wale wazalendo waongo waseme lingine.Powerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?
Wakipata upenyo tutaziona Sheria nyingi za miswaada ya hati za dharura kuziba mapendo na mashimo waliyoyachimba wenyewe!
!
Watakuja na sheria mpya kwamba drone moja isajiliwe kwa mtu mmoja hakuna kuazimana.
Yani Niko uwanjani Mambo ni MotooPowerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?
Mungu aibariki Arusha na awabariki wana Arusha
Tunawapenda sana..
Pamoja na ushawishi wa Mpira na tamasha bila malipo,Sasa wale wazalendo waongo waseme lingine.
Hizo bodaboda za kukodi? Hongereni bodaboda kupiga pesa ya kiinua mgongo Cha lemaNa hapo hakuna cha lori au punda!
Moslty huwa wanakuja wenyewe. No fuso.. or any other sort of usafiri.Umejuaje bwashee?!
Arusha Fuso hazikwepeki!
Kwamba hao wote wameletwa na boda boda ! you cant be serious manHizo bodaboda za kukodi? Hongereni bodaboda kupiga pesa ya kiinua mgongo Cha lema