Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Yaani hakuna watu kabisa. Hii ni aibu kwa chadema
Aibu kubwa sana kwa CCM, Magufuli atangaze kujitoa kwenye uchaguzi maana hatashinda.na akishindwa alivyo mwepesi wa kuamua anachotaka anaweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa.
tapatalk_1598885720438.jpg
tapatalk_1598885725750.jpg
tapatalk_1598885731282.jpg
tapatalk_1598885735503.jpg
 
Naona bado mnapiga picha kwa kutafuta angle.
Ebu tupia aerial Kama ile ya TBC!
 
Hii figisu ya kuandaa tamasha la wasanii bado haijalipotiwa kwa bwn Amstardam!?
au tusuburi kesho.....
hii sio kabisa ni ukiukwaji
 
Back
Top Bottom