Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Pamoja na figisufigisu za kukata Umeme naeneo Yale Leo,mambo yaliendelea poa kabisa..
 

yaani mnaweka video za watu wanatafuta magari waondoke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tafuta wakati Lissu anaongea uone. Niwape siri ndogo nimekulia Arusha. Arusha ni mjini ni mji wa wachagga ukileta mtu mwingine bila kupata support ya wachagga pale ni bure!
 
Wakuu kwanini sioni picha kabisa za drones? Why?

Chadema mnaogopa nini?
 
Watu wamelewa mirungi na mbege wataweza wapi kuangalia soka wacha wakasikeie malele ya tundu
Pale dodoma isingekuwa zuchu uwanja ungekuwa mweupe. Unajiuliza wamefuata muziki au sera za Ccm.zilizoliingiza taifa kwenye ufukara wa kutisha mpaka leo
 
Tatizo hao wavuta bange hawajajiandikisha.
Kura za chadema kwa taarifa yako zimatoka kwa waccm.Jiandikisheni woote,kura zinaenda CDM pambafu.ccm ndio wanaoongoza kuisoma namba.
 
Arusha ccm hata isijisumbue hawapati kitu siyo ubunge hata uraisi.
 
Ukiona matokeo ya hivyo just huyo Lena anaaminika na Wana Arusha kwa kuwa na uzalendo halisi,ukilinganisha na wengine.
Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke
 
Kwa hiyo ni wakabila,
Mnatupandisha behewa la ukabila,
Sasa nimeelewa kwa nini wagombea ubunge wa chadema dar almost wote ni wa kaskazini
 
Bwaaaahahahahaaaaaaa! Hilooooo hilooooo hilooo mwaka huu haki ya nani bila kujamba cheche mimi sitawaelewa!!
 
Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke
Lakini kwa vigezo ,so kwa kupora haki,hapo ndipo Mambo yanavyozidi kuharibika kwa upande Fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…