Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Unamaanisha kamanda Lissu kapanda ndege πŸ™„πŸ™„πŸ™„ ????
Si anatuambia ndege za JPM na miundombinu haina msaada, iwaje tena awe wa kwanza kuitumia ?[emoji1787]
Kamanda tuma picha Lissu akiwa ndani ya bombardier ya JPM.[emoji1787]
Unawezaje sema Bomberdier ya JPM wakati ni kodi zenu ndio zimenunua? Amenunua kwa mshahara wake? Hizo ni ndege za watanzania wote.
 
Sikuhizi wanapiga picha cameraman akiwa amechuchumaa.. Zile za drone hawapigi tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
HABARI KAMA HII BILA PICHA SIO HABARI.
Au mmeminya uhuru wa wapiga picha????
 
Ndomana siku hizi kila kukicha wasanii wanapiga show Mara mwanza, Mara shinyanga, Mara ntwara
Mara vunja bei shw iringa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amkeniiiii

Ova
 
Msisahau kutuwekea link makamanda tuone nyomi yenu [emoji16] ...
Wapiga picha wanalalamika mnawalazimisha kuchuchumaa wakitaka kupiga picha za mikutano yenu[emoji1787]
Vp shw ya zuchu na rayvany jna iliendaje

Ova
 
Unawezaje sema Bomberdier ya JPM wakati ni kodi zenu ndio zimenunua? Amenunua kwa mshahara wake? Hizo ni ndege za watanzania wote.

Poaaa kamanda, Lissu yupo ndani ya bombardier ya kodi za watanzania 😁 🀣....
Sasa kwa nini mnaogopa kujivunia kupiga picha ndani ya kodi za watanzania ?
Kamanda basi fanya baadae kutuma picha za mabakuli machalii wakiwa wanaibiwa
 
Naona unahangaika kweli leo! Ile thread yako nyingine umeikimbia umeanzisha nyingine tena? Mods unganisha hizi mada uchwara.
 
Watoroke hata siku ya kupiga kura si kuangalia kampeni tu, maana mwusho wa siku wao ndo watakuwa wanashangilia ushindi upande wa pili.
 
HABARI KAMA HII BILA PICHA SIO HABARI.
Au mmeminya uhuru wa wapiga picha????

Wapiga picha wanalalamika wanalazimishwa wachuchumae wakiwa wanapiga picha za CDM, sasa sijui CDM wana matatizo gani 🀣
 
Unamaanisha kamanda Lissu kapanda ndege πŸ™„πŸ™„πŸ™„ ????
Si anatuambia ndege za JPM na miundombinu haina msaada, iwaje tena awe wa kwanza kuitumia ?🀣
Kamanda tuma picha Lissu akiwa ndani ya bombardier ya JPM.🀣
JIPENDEKEZE TU TUNAKUPA DKK 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…