Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uzi upo mchaka mchaka kama vile mkutano umeanza...

CCM leo wapi , tupate update za huko?

Au Polepole leo ndiyo anatoa ratiba za kampeni.
 
Bora leo hamjatumia ile picha yenye background ya nyomi la Lowasa.
 
Aisee hata ningekuwa ni mimi mtumishi, lazima ningetoroka kijiweni angalau nikapate neno la faraja na tumaini! Nimemsikiliza mgombea wa CCM majuzi , yaani pamoja malalamiko yote haya ya watumishi wa umma bado anazungumziaga kununua mindege mingine mitano, hapo piga hesabu wewe mwenyewe hivi kweli hapo watumishi wana chao kweli? Kuna daraja jipya au increament hapo? Aisee watumishi zidisheni sala Mungu akafanye wepesi wa ushindi wa Lissu!
 
Those who think TL can be president of TZ, have no brain.
 
wacha tu Mkuu kibano 5 years tena NEVAA
 
South Carolina Columbia + Arusha Tanzania
31 Aug 2020
Arusha
Tundu Lissu amechachamaa, Arusha Mjini Ngome ya Chadema, Ally Bananga Asisitiza!

Source : Swahili villa
Woyooooo Chaaaaa MAMBO NI MOTOOO
 
Yule mbwiga anayetuma wahuni kurushia watu mawe safari hii msimchekee mnyoeni nywele zake zote za sehemu za siri kwa kutumia chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…