Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uzi upo mchaka mchaka kama vile mkutano umeanza...

CCM leo wapi , tupate update za huko?

Au Polepole leo ndiyo anatoa ratiba za kampeni.
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

Bora leo hamjatumia ile picha yenye background ya nyomi la Lowasa.
 
Aisee hata ningekuwa ni mimi mtumishi, lazima ningetoroka kijiweni angalau nikapate neno la faraja na tumaini! Nimemsikiliza mgombea wa CCM majuzi , yaani pamoja malalamiko yote haya ya watumishi wa umma bado anazungumziaga kununua mindege mingine mitano, hapo piga hesabu wewe mwenyewe hivi kweli hapo watumishi wana chao kweli? Kuna daraja jipya au increament hapo? Aisee watumishi zidisheni sala Mungu akafanye wepesi wa ushindi wa Lissu!
 
Chadema inaonekana kama kagenge flan ka wahalifu , waendelee Tu kumpa pressure JPM ili atambue wajibu wa kuwa kiongozi wa juu wa nchi cse still mwamba ni far better, ila kumpa uraisi TL itakuwa mistake ya Karne and should fill it with a terrible resolve
Those who think TL can be president of TZ, have no brain.
 
Aisee hata ningekuwa ni mimi mtumishi, lazima ningetoroka kijiweni angalau nikapate neno la faraja na tumaini! Nimemsikiliza mgombea wa CCM majuzi , yaani pamoja malalamiko yote haya ya watumishi wa umma bado anazungumziaga kununua mindege mingine mitano, hapo piga hesabu wewe mwenyewe hivi kweli hapo watumishi wana chao kweli? Kuna daraja jipya au increament hapo? Aisee watumishi zidisheni sala Mungu akafanye wepesi wa ushindi wa Lissu!
wacha tu Mkuu kibano 5 years tena NEVAA
 
South Carolina Columbia + Arusha Tanzania
31 Aug 2020
Arusha
Tundu Lissu amechachamaa, Arusha Mjini Ngome ya Chadema, Ally Bananga Asisitiza!

Source : Swahili villa

Woyooooo Chaaaaa MAMBO NI MOTOOO
 
FB_IMG_1598870358043.jpg
 
Yule mbwiga anayetuma wahuni kurushia watu mawe safari hii msimchekee mnyoeni nywele zake zote za sehemu za siri kwa kutumia chupa
 
Back
Top Bottom