mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
Ndio sababu tuna hela za kuwalipa, ata wewe ukitaka kukata poa tu tutakulipa sio unamkatikia yuke dosti wako kila siku.Maboya wamebaki kukusanya watoto na leo wamekodi WAKONGO KUKATA MAUNO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu tuna hela za kuwalipa, ata wewe ukitaka kukata poa tu tutakulipa sio unamkatikia yuke dosti wako kila siku.Maboya wamebaki kukusanya watoto na leo wamekodi WAKONGO KUKATA MAUNO
Ningekuwa na uwezo, ningeruhusu lizaliwe creti la soda au bia watu wanywe wafurahi, kuliko wewe tutusa.Wewe unapowaita wenzako mbweha bila hata kuwajua,hujui kuwa unaweza kuwa unatusi hata mtu mkubwa sawa na babaako au mamaako.? Au ndo ulimbukeni wa mitandaon , na kumiliki smartphone ukubwani ndo kinakusumbua🤔? Ndomaana nimeamua kulihamisha Hilo tusi lako kwa mzazi wako wa kike,ili ujisikie raha...!Nashukuru tusi limekufikia na limekuuma ndo maana umehamisha goli kwa kutonitusi me direct ! unajua ukiwa na akili za ngamia ndo ukomo wa kufikiri unapoishia /// ungekuwa ndungu yangu ningekubadilisha na gunia la ufuta
Nilikiona kama mgombea wa udiwanKwani hukukiona?
Ningekuwa na uwezo, ningeruhusu lizaliwe creti la soda au bia watu wanywe wafurahi, kuliko wewe tutusa.Wewe unapowaita wenzako mbweha bila hata kuwajua,hujui kuwa unaweza kuwa unatusi hata mtu mkubwa sawa na babaako au mamaako.? Au ndo ulimbukeni wa mitandaon , na kumiliki smartphone ukubwani ndo kinakusumbua[emoji848]? Ndomaana nimeamua kulihamisha Hilo tusi lako kwa mzazi wako wa kike,ili ujisikie raha...!
Ni mawazo yako hayo.Chadema inaonekana kama kagenge flan ka wahalifu , waendelee Tu kumpa pressure JPM ili atambue wajibu wa kuwa kiongozi wa juu wa nchi cse still mwamba ni far better, ila kumpa uraisi TL itakuwa mistake ya Karne and should fill it with a terrible resolve
Wanajua kujipa matumaini hewa sana hawa viumbe..Halafu wenyewe wanakuambia wanashinda Oct, tuna wagonjwa wengi wa akili Tz. 🤣
Upepo hauuoni mkuu??Kwa vigezo gani fisadi?
Hahahaha anawakomboa kwa kipi??Mafuriko kuanzia USARIVER watu wamejipanga barabarani MKOMBOZI anakuja wee kalia kubwia ugoro
Makamanda wana shida sana hawa..Na habari kama hii bila picha sio habari
Mwakyembe amevuna alichopandaKwa hiyo kamanda unagombania ubunge na darasa la saba wa CCM, ila Dr Mwakyembe ana dharau sana 🤣 .
Interesting part ni huyo darasa la saba anaenda kudondosha vichwa vingine Kyela, billionea Erythrocyte anaenda kula za uso za la saba B.
Toa mchango wa mabakuli billionea Erythrocyte 🤣🤣🤣🤣🤣
Mm nafatilia mauno n misambwanda tu ya wacheza show wa bongo fleva, na kuangalia mipja ya Wasani bongo movie tu mambo ya segerea hkna burdan mzee
Ova
Na kila mwana JF? Ha ha ha haaaaaaaa. UnachekeshaaaaaaaaaaaaTaarifa zinaonyesha kwamba umedharauliwa nabkila mwana jf , na hivi nikimaliza kuandika hapa nakuweka kwenye ignore list , ni aibu sana kuchangia jukwaa moja na wewe .
trashlist huyoTaarifa zinaonyesha kwamba umedharauliwa nabkila mwana jf , na hivi nikimaliza kuandika hapa nakuweka kwenye ignore list , ni aibu sana kuchangia jukwaa moja na wewe .
Wewe pia umesema hapa, umeona ni bonge la Kiki.Kutoroka kazini ndio umeona bonge ya kiki hadi uje useme hapa?
Raisi wa watu sio Raisi wa Wakuu wa mikoa na Mapolisi hahahaArusha imezizma niko hapa mataa ya Esso naelekea kumwona Rais
Wasanii wote wale wewe umeona zuchu tu?Wasanii wenyewe ndio wale akina Zuchu [emoji38][emoji38]