Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEKENI PICHA AU VIDEO BASI
Imhotep ninacheka had Sasa ulichoandika suddenly umefuta..jaman nimechekaaaRisasi16 za upendo Only in Tanzania
sio vurugu dadangu... hii inakueleza kuwa ujifunze kuheshimu vyama vingine..Naona sera zimeisha wanaanza kuanzisha vurugu wenyewe.
Risasi16 za upendo Only in Tanzania
Bora wewe umelirudisha bango kwa maana nimecheka mpaka likafutikaImhotep ninacheka had Sasa ulichoandika suddenly umefuta..jaman nimechekaaa
Kejeli zako zinakuburudisha mwenyewe na mazwazwa wa CCM
nenda kapige ww iliuwarushie ndugu zako vizuriMsisahau kutuwekea link makamanda tuone nyomi yenu 😁 ...
Wapiga picha wanalalamika mnawalazimisha kuchuchumaa wakitaka kupiga picha za mikutano yenu🤣
Dogo upo vizuri kwa propagandaEndelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
CHADEMA VIPI HAKUNA SMALL VIDEO CLIP
Sema sijui picha mnakula..
Kama kawaida mkuu tunawakilishaArusha hamjawahi kutuangusha
Wengine tulikuwa tunapombeka mkuu ndo Tupo njianNirushie hata kapicha kamanda tuone wanao subili the great
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya Jiwe ilibadilika gafla; akawa mpolee!!Mkuu watu wanajifanya wasahaulifu kuhusu uadui mkubwa alioujenga huyo jamaa ndani ya miaka mitano tu.