Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Naona sera zimeisha wanaanza kuanzisha vurugu wenyewe.
sio vurugu dadangu... hii inakueleza kuwa ujifunze kuheshimu vyama vingine..
vinginevyo hii ya kutimuliwa itakuhusu. MBOWE NI MWAMBA
 
Tunasubiri story za risasi,mihemko ya lema na mwisho kuchangishwa
 
Mkuu watu wanajifanya wasahaulifu kuhusu uadui mkubwa alioujenga huyo jamaa ndani ya miaka mitano tu.
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya Jiwe ilibadilika gafla; akawa mpolee!!

Watch my words; huyu Jiwe atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliowatukana baada ya tetemeko!
 
Back
Top Bottom