Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

Soma hapa

Although there isn't a universally agreed definition of what a tax haven is, a tax haven generally refers to a country or jurisdiction that enables multinational corporations and individuals to escape the rule of law in the countries where they operate and live, and to pay less tax than they should in those countries.
 
Y
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri, yani unachukuwa Mgodi wa makaa ya mawe ambao kwa sasa makaa ni hot cake, halafu baada ya miaka mitatu unaacha? Unauza share?
Yes, walikuwa wanafanya hivyo. Unayemuuzia actually kampuni yenu kwa jina lingine mkwepe kodi, na maisha yanaendelea kunyonya weusi. Ukifika mwaka wa tatu mna declare hasara na kujifanya kuuza share.......anayekuja anaanza msamaha wa kodi pia wa miaka mitatu
 
Uko vyema sna Dr

Naoomba unipe abcd za bollore logistics

Kuna faili langu hapo ofcn kwao Hadi Sasa sijajibiwa tabata mwananchi
Sijaelewa file lako linahusu nini, lakini Air freight Manager wao Niko naye vizuri office zao ziko terminal one airport.

Pale Tabata relini kuna watu wangu wawili lakini wao ni watu wa operation bandarini sidhani kama wanaweza kuwa msaada kwako.
 
Hadi sasa hili swali halijajibiwa...wanakwepaje kodi?
Kuna Tax evasion na Tax avoidance

Wanachofanya hao ni Tax Avoidance.
Kwa kubadili jina,Kuna exemption ya kodi watapata tena kwa kipindi Fulani,
Kiliisha utaona tena wanaswitch kwenda kwenye jina jingine.

Hiyo ni technique moja tu wametumia hapo.
Zipo na nyingine nyingi.
 
Yani uuze kampuni wakati mnapiga pesa ndefu ili mkwepe kodi? Hivi Bakhressa anaweza kukuuzia Azzam?

Think twice.
 
Nasikia sterling wa game hizi ni Rostam na mstaafu mmoja
 
Tigo siyo kampuni ni brand tu
 
Dah! Ahueni. Wangebadili na brand ya Tigo wangetuvuruga kweli wateja. Honora!!
 
Uhujumu uchumi👌🙏
 
🤣🤣Na Salah je?
Yule mwenye benk yake ya ndani kariakoo?
Kuna mdau alileta mada ya kudhulumiwa naye hapo kariakoo
Huyu ndio alipaswa kumwagiwa tindikali au amwagiwe tindikali.

Ana mlolongo wa shutuma za ukatili na utesaji anaowafanyia Watanzania.

Halafu mkwele eti akampa na ubalozi wa heshima Guangzhou, hii nchi INA vituko sana.
 
Yale yale ya celtel, zain to airtel
 
Nani kasema ni mtaalamu wa kodi?
 
The point we are making is that Kikwete has always been a facilitator/broker of their businesses. Hata alipomwagiwa acid Vasco Dagama flew at our expense kwenda kumuona hospitali kwa Madiba!
The business relationship between hawa wamanga na Kikwete during his tenure as president was tantamount to STATE CAPTURE! Kama katiba iliyopendekezwa ingepitishwa Mkwere angesamishwa kizimbani to answer grand corruption charges.
 
Jina baya sana
 


yeye nape anasemaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…