Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Kwani Sisi ni South Africa kaka jambasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe mwongo. Dubai siyo nchi. Hakuna mahusiano kati ya nchi na jimbo la nchi nyingine.Mkataba wa uendeshaji wa bandari kati ya Dp world na TPA bado, hatua hio itakavyofikia muda wa mkataba na mambo mengine yatawekwa humo. Mkataba ulioridhiwa na Bunge unahusu mashirikiano kati ya Dubai na Tanzania.
Tatizo Waafrika majungu nakubaniana ili waliopo kwenye mfumo wale vizuri hebu jiulize hata kandarasi ndogndogo za barabara zitaa chamsingi iwe rami Tz lazima apewe mchina haya makampuniye yasubili tenda zakujenga vizahanatHivi ngozi nyeupe imetuzidi ngozi nyeusi ujanja? Hiyo ufilipino si tulikuwa tunaambiwa ni nchi maskini?
Lakini inavyoonekana, ngozi nyeupe hata ikiwa maskini wa mali, ila akili zao zinafanya kazi vizuri kuliko akili za ngozi nyeusi? Yaani hadi kampuni za South Africa zimeshindwa kuendesha bandari zao?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwan dubai ni nchi?Mkataba wa uendeshaji wa bandari kati ya Dp world na TPA bado, hatua hio itakavyofikia muda wa mkataba na mambo mengine yatawekwa humo. Mkataba ulioridhiwa na Bunge unahusu mashirikiano kati ya Dubai na Tanzania.
Uhuru wanatengeneza precedent ya kuloby na siye tubinafsishe ya kwetu Kwa kua SA kabinafsisha ya kwake.....Yaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
Toilet paper hiyoGazeti lenyewe uhuru!
Labda umeme alimanisha ukimwiHatari sana
Maswali kuntu sanaJe!
1. South Africa wamebinafsisha bandari zao zote mwambao wa bahari na zile ziwa muhimu kwa Ufilipino??
2. Mkataba wao wa ubinafsishaji ni wa milele kama huu wetu??
Watanzania wengi hawapingi uwekezaji ila wanapinga terms za huo mkataba wenyewe.
Sikuwahi kujua kama huyu jamaa ni ndina namna hii.Maswali kuntu sana