Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Unajua mpaka sasa tushalipa mabilioni mangapi kulipia mikataba ya hovyo ya uwekezaji tuliyovunja masharti??Fuatilia vitu ambavyo ubongo wako unaweza kuvielewa,issue ya investment ni kubwa sana kwa akili yako kuielewa,hata kukuelewesha ni kazi bure tu.
Unajua hadi sasa ni makampuni mangapi yanaishtaki serikali ya Tanzania kwa kuvunja mikataba au makubaliano ya mikataba mbalimbali ya uwekezaji??
Bora watu kukosa akili kuliko kujifikiria una akili kumbe huna na matokeo yake rasimali za taifa zinaangamia.