Unajua mpaka sasa tushalipa mabilioni mangapi kulipia mikataba ya hovyo ya uwekezaji tuliyovunja masharti??Fuatilia vitu ambavyo ubongo wako unaweza kuvielewa,issue ya investment ni kubwa sana kwa akili yako kuielewa,hata kukuelewesha ni kazi bure tu.
Leo umeongeq points kunywa soda nakuja lipaYaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
Watu wa kanda ya ziwa ipi?Usituabishe watu wa Kanda ya ziwa.
Sisi ndio wananchi pekee Nchii hii tuliojaaliwa kua na Uwezo mkubwa kichwan, ukifuatia mikoa ya Mbeya .
Watanzania hawajakataa uwekezaji.
INSHU NI LI MKATABA ,LIMKATABA LAKIJINGA LILOJAA UJINGA NA UZUMBUKUKU NA USHENZI , YAAN HUWEZI HATA KULIEKEZEA .
MKTABA UKIREKEBISHWA UKAWA NI WIN-WIN BUSINESS,. SISI HATUNA NENO !!.
Rubbish.Unajua mpaka sasa tushalipa mabilioni mangapi kulipia mikataba ya hovyo ya uwekezaji tuliyovunja masharti??
Unajua hadi sasa ni makampuni mangapi yanaishtaki serikali ya Tanzania kwa kuvunja mikataba au makubaliano ya mikataba mbalimbali ya uwekezaji??
Bora watu kukosa akili kuliko kujifikiria una akili kumbe huna na matokeo yake rasimali za taifa zinaangamia.
Hiyo mikataba alivunja nani? Kwanini alivunja kiholela?Unajua mpaka sasa tushalipa mabilioni mangapi kulipia mikataba ya hovyo ya uwekezaji tuliyovunja masharti??
Unajua hadi sasa ni makampuni mangapi yanaishtaki serikali ya Tanzania kwa kuvunja mikataba au makubaliano ya mikataba mbalimbali ya uwekezaji??
Bora watu kukosa akili kuliko kujifikiria una akili kumbe huna na matokeo yake rasimali za taifa zinaangamia.
Huenda ni jackline ntuyabaliwe huyuHuyu mwamba huwa anaongea vitu Bila logic ilimradi apate attention kama demu vile..[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28].. No wonderHuenda ni jackline ntuyabaliwe huyu
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?Ww jamaa sijakuona tu live ila ni ukweli kuwa hata jamii inakuona mtu uliekosa vyote, huna akili, impotent, you are empty dishhh
Hivi umesoma mkataba wa bandari Kati ya dp world na Tanzania au wewe unakabidhi tu bandari bila mkataba
Hata ukienda kutafuna wahaya wenzako pale wanjawafisi Kuna mkataba mnawekeana kuwa bao moja ni buku tatu sasa unafikili Kuna Malaya atakubali kubutuliwa hata bao kumi Kwa buku tatu yako?
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?Angekuwa mwingine ningeshangaa sana kwa alichokiandika ila wewe kawaida tu uzwazwa wako unafahamika
Naona Mke anamuunga mkono Mume.Kweli kabisa
Tatizo Lako huwa linaanzia hapa.. mkataba WA bandari sio zike mada Zako za Mpira MkuuNaona Mke anamuunga mkono Mume.