Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Si kweli kwamba duniani kote magazeti hayauziki.
USA Today, The Wall Street Journal, The Yomiuris(Yomiuri Shimbun & Asahi Shimbun), Argumenty i Fakty, yanauzika sana tu.
Hayauzi kama miaka ya 90s. Huo ndiyo ukweli
 
Hayo ndio madhara ya kuandika mapambio! Mnaumia kiuchumi mnaendelea kusifia tu, mnaambulia hasara bado mnaendelea ksifia tu , haya pambaneni na hali zenu!
 
Kwenye zama hizi unapaswa kuwa mwendawazimu ili ununue gazeti!
Juzi nilikutana na muuza magazeti anataka kupigana mtu, anamdau 200.

Anasema unataka kunidhulumu 200 wakati siku hizi kuuza gazeti moja tu umefanya kazi kweli kweli.

Kuuza magazeti siku hizi imekuwa kama kuuza Jeans👖 Longido kwa wamasai
 
Kama 99.9% ya Media zote za Tanzania zimewekwa Mfukoni mwa Mtu Mmoja na zikimkatalia wananyimwa Matangazo unadhani watajiendeshaje?
Kibaya zaidi hata wakimkubalia habari wanaoandika hazina mvuto kwa walaji. Najiuliza hao tunaambiwa million 12+ wamempa kura, wanakosekana hata watu milioni 3 kila siku wakununua habari za kusifia? Nilivyoona approach za huyu mheshimiwa kwenye uchumi nilijua tutarudi enzi za Nyerere. Ogopa sana mtu yuko karne ya 21, anatekeleza ndoto za Nyerere za karne ya 20.

Sasa vyombo vyote vya habari kuanzia magazeti, TV station na redio vimepoteza mvuto, maana wananchi wameshamka lakini viongozi wanatumia shuruti kulazimisha kulisha watu outdated propaganda. kiongozi analogue anaongoza wananchi digital.
 
5 tena
 
hivi Musiba na tanzanite yake mbona hawafungi
Hao wanapewa ruzuku na Jiwe.

Ndio maana magazeti yao yamejaa kwenye meza: Magazeti Kama TAZAMA, TANZANITE, JIJI, JAMVI LA HABARI, UHURU, MZALENDO.

Nchi hii hakuna pesa za kufanyiwa mambo ya maana tu.

Kwenye mambo ya Kipuuzi sana pesa zinachotwa tu.
 
Unalijua the daily mail la uingereza?nakala 600000 per day na kule kuna mitandao,nenda usa magazeti yanauza sana
 
Maumivu ya kichwa huanza taaaratibu,hii ndiyo chungu ya mitano tena
 
Nilipiga kura yangu nilitarajia kura yangu ingeweza kumuondoa huyu anayetuaribia uchumi wetu, lakini wameiiba.
Nikajiandaa kuandamana kuidai kura yangu kwa amani, wakanizuia nisisubutu.

Huenda wanafikiria nimekata tamaa....la asha. Kura yangu haiwezi najisiwa easy such a way.

Ni mapambano ya jeshi la mtu mmoja kimya kimya.

Rudisheni kura yangu sehemu nilikoikusudia.
 
Bado wale jamaa wa Tabata Relini, na vile nikutoka kwa macho mekundu, ndo basi kabisa,anawalia timing tu
Wale wanajitahidi kuumauma ili wauze.

The Citizen wao wameamua kudeal na business issues, corporate

At least unaweza kununua
 
The private business sector is at moribund stage.The media sector is in trouble. Democracy is at stake. The constitution no longer matters. The lawyers and judges are dumb and mum. The judicial system is trusted no more. What is next?
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuangalia TV inayorusha. uchambuzi unaosema uchumi umekua halafu kwenye TOPIC hiyo uunamualika mtu kama polepole ambae Kula kwake ni hisani ya Mwenyekiti

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti

Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Mbona magazeti ya Uhuru, Habari leo, na Daily News yanapeta licha ya kuwepo mitandao ya kijamii. Swali: "In which different business environment are these papers operating"?
 
Acha ncheke wee! Duniani kuna mambo. By Bichuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…