Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Maisha yana enda kasi sana.

Kwa kheri Ukoloni, kwa kheri uhuru
 
Uchumi unakua kwa kasi ya ajabu [emoji23][emoji28][emoji23]
Mitano tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magazeti yatakufa kwa kuwa na wahariri na waandishi uchwara.

Bei ya kutumia mitandao kwa wasomaji Tanzania bado ni ghali sana kufananisha na kusoma kopi ya gazeti moja lenye kurasa kumi. Hivyo sioni kwanini magazeti ya kiTanzania yasiendelee kuwepo ktk lugha ya kiSwahili na pia kwa gazeti litakalo amua kutumia lugha ya Kiingereza murua plain english.

Nini hawa waandishi na wahariri wa magazeti wafanye ili tuendelee kusoma gazeti kama ilivyo ktk nchi zingine ?

Gazeti lazima liwe na matumizi ya lugha na sentensi zenye mvuto katika uwakilishi wa habari zake. Mtiririko wa uandishi pia uwe unao eleweka kwa msomaji.

Msomaji avutiwe kuwa gazeti linafahamu habari inayoiandika vizuri siyo gazeti kuonekana ni kinywa cha msemaji wa chama na serikali neno kwa neno kama wasomaji walivyoona ktk taarifa za habari za local tv yao jana usiku.

Mwisho kabisa gazeti liweze kuwa rejea kwa wasomaji kwakuwa habari zilizoandikwa vimekwenda mbele, ndani na kwa kina kuliko walichoona ktk TV au kusikia redioni au habari za chapuchapu za kimtandao. Kifupi watu wakisia habari ktk mitandao au tv waone habari hivyo haijajitosheleza na hivyo wakimbilie magazetini au ktk majarida ili kuipata habari hiyo hiyo kwa engo nyingine na kwa mapana zaidi.

Tamati magazeti yapunguze habari za siasa za "maendeleo ya Vitu ", kusifia na kutukuza wanasiasa / chama na kuongeza habari za namna nyingine ktk kila toleo la gazeti.


Cheki waandishi wanavyotumika kudhoofisha tasnia yao:
Utaona video inasema vingine wakati mimi mtazamaji wa video hiyo ktk maandishi nilitopachika maono yangu ni mengine yaani sipati ushawishi na habari anavyoogea mwandishi na hiyo ipo pia ktk magazeti.
27 November 2020
Malighafi clinker inayotumika kutengeneza saruji yawasili Tanga

Meli to UAE yenye tani 55,000 za clinker malighafi muhimu katika uzalishaji wa saruji viwandani yawasili ktk bandari ya Tanga.

Tani hizo zinashushwa mbali kidogo kisha kutumia matishari kuyafikisha bandarini.

Umbali wa kutia nanga wa meli umepungua baada ya kina cha bandari kuongezeka ila bado gati la kupaki meli mradi wake wa ujenzi unaendelea

Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati?​

 
T
Tanzania daima bado lipo?
 
Magazeti na Media zote zisizoimba sifa hazipo sokoni.

Kwanza TV, Tanzania Daima, MwanaHALISI, Mawio, Raia Mwema.

Sasa hivi meza za magazeti zimejaa magazeti ya Serikali, Musiba, Jamvi la Habari na CCM
Mbona mwanahalisi online ipo vizuri. Magazeti ya Musiba yanatatizo? Yanaonyesha uzalendo.
 
True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti

Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Wakiendelea kuweka habari za upendeleo hata huko watapotea tu
 
Teknolojia imekua sana, magazeti hayauziki kama zamani.

Ni kweli, ila sababu hasa ni Rais huyu kudhibiti vyombo vya habari, huku akiweka mazingira ya yeye tu kutangazwa tu na kusifiwa, na kukomoa vyombo vyote vya habari visivyomsujudia. Mbona nchi nyingine zenye uhuru wa habari na technology kubwa bado magazeti yanauzika vizuri?
 
Mbona magazeti ya Uhuru, Habari leo, na Daily News yanapeta licha ya kuwepo mitandao ya kijamii. Swali: "In which different business environment are these papers operating"?
Chukua pepsi baridi nalipa
 
...Duuu! Ina maana Wale Wadogo zangu Waandishi wa Hayo Magazeti inabidi sasa Wapo juu ya Mawe na Itabidi Waingie Mtaani!! [emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…