Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora
1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi?
2. Watu wamepunguza kufanya ngono?
3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV?
4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu?
5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema?

Kwa uzoefu wangu watu wengi wamelalamikia kutokupenda kutumia kondoms kutokana na harufu mbaya

Nadhani kampuni za condoms zione jinsi ya kuziondolea condoms harufu mbaya

Binafsi sutumii condoms napima Kwa macho, nakadiria hapa Ukimwi na UTI hamna nazama hivo hivo
 
😆😆😆😆😆
Nimefurahishwa na swali namba 4,
Kwanza elewa hayupo mtu ambae hajawahi kujamiiana na mtu asiye na maambukizi ya Ukimwi...

Probably kwa kutojua au kutojua.
Mimi ninaanza kushawishika kwamba virusi vya generation hii sio kama vile...au basi ni kwa kudra za MUNGU

Kwanza hata machine tunazonyolewa saloon hazina usalama wowote kabisa..
Kuna kipindi unakuta kabisa anayekutangulia kunyolewa, kakwanguliwa kidevu hadi mipere inavuja damu..wewe utakayefuata baada ya hapo unaepushwaje
 
Back
Top Bottom