Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora
1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi?
2. Watu wamepunguza kufanya ngono?
3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV?
4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu?
5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema?

Kwa uzoefu wangu watu wengi wamelalamikia kutokupenda kutumia kondoms kutokana na harufu mbaya

Nadhani kampuni za condoms zione jinsi ya kuziondolea condoms harufu mbaya

Binafsi sutumii condoms napima Kwa macho, nakadiria hapa Ukimwi na UTI hamna nazama hivo hivo
Eheheh..mara nying mtu akishaoona mbunye haitemi kila cha harufu cha hovyo kama samaki, wengi hushawishika kutovaa mpira.
Swali langu, hivi condom kwel inazuia ukimwi????
 
Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora
1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi?
2. Watu wamepunguza kufanya ngono?
3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV?
4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu?
5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema?

Kwa uzoefu wangu watu wengi wamelalamikia kutokupenda kutumia kondoms kutokana na harufu mbaya

Nadhani kampuni za condoms zione jinsi ya kuziondolea condoms harufu mbaya

Binafsi sutumii condoms napima Kwa macho, nakadiria hapa Ukimwi na UTI hamna nazama hivo hivo
Eeeh namba hazidanganyi....mnanipigaga mawe humu kuwa condom ninkupiga nyeto tuu haya sass mambo yote hadharani watu hawatumii condom.
Sema utam utam🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom