Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi?
2. Watu wamepunguza kufanya ngono?
3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV?
4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu?
Screenshot_20250215_184655_Google.jpg

Jibu la maswali yote manne ni hili hapa pichani
 
Back
Top Bottom