Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

Ile ukkishamwaga mzigo usizubae humo amka haraka fua kwa sana huo mtutu. Itsondoa vijidudu vyote. Take time ya kunawawisha mtutu. Ikibidi chukua sabuni antiseptic mfukoni. Ila lkinga muhimu na ya kuaminika zaidi ni huo mpira. Hata ufanyeje huo mpira harufu haiishi. Patina wako atagundua tu kuwa umetoka kucheza rafu. Nakumbuka tulikuwa tunavaa mbilimbili. Ukimwona aliyeathirika alivyokuwa anateseka hauwazi marambili kutumia kinga.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Watu wako bize na kulana nyama kwa nyama wakidhani ukimwi ni wakipuuzi
 
Serikali inatangaza ongezeko la wenye HIV na wanajijua tayari wanao kwanini waendelee kula hasara ya kununua kondom??
Sababu ni ;1. Wazinzi sehemu kubwa tayari you ameungua you anunue za kazi Gani??
2. Watu wamepunguza kujamiana/ kufanya uzinzi
3. Watu wameyumba kiuchumi.

So sababu za kiafya na kiuchumi ndo chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…