Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

Kama mna maisha mazuri Kwa nini mnatelekeza ndugu zenu?
 
..shika adabu yako..! Ina maana sisi wa huku sungangwanda tumepauka? kijana wa hovyo sana ww
 
Kutoboa ni fikra, niko hapa Mbeya kwa sasa, kiasi fulani maisha ni rahisi hasa chakula. Kwa hiyo ukituliza akili unaweza kufikia malengo kirahisi kuliko Dar es salaam.
Mbeya vyakula bei rahisi kweli, tatizo utafutaji wa pesa mbeya mgumu, hasa biashara zimejaa ushirikina, labda kama umeajiriwa, lakini kama umejiajiri kutoboa ni ngumu sana
 
Wat wanaanzia mkoan wanajidunduliza kwa kulima kugunguq bishara za mitaj midog ikikuwa wanakimbilia dar wanatajilika.

Na asilimia kibwa ya ya waliopo kariakoo wanatoka mikoana kwan kuanzia dar moja kwa moja ni kaz kwan mtu anahamia dar pale anakiwa angalau ana million 100 so maisha huanziqamikoan na ukomaa daslam.
 
sahihi chief
 
Akili za hivyo ndio unasababisha waswahili wajazane mbagala kibondemaji,kiburugwa,ulongoni,boko nyakasanga huko wakishindia miguu ya kuku na maji ya viroba huku akili zimedumaa na Kama ni majungu na fitina huko ndio mahala pake
 
Akili za hivyo ndio unasababisha waswahili wajazane mbagala kibondemaji,kiburugwa,ulongoni,boko nyakasanga huko wakishindia miguu ya kuku na maji ya viroba huku akili zimedumaa na Kama ni majungu na fitina huko ndio mahala pake
umenifurahisha boya wewe

vp lakini ,za kiteto mkuu !
 
Hata kimboka na Riverside wadada wanachangamsha uchumi kwa kwenda mbele
huo uchumi si uafiki hata kidogo, naunga mkono mapambano ya mkuu wa mkoa wa dsm -CHALAMILA kupambana na madangulo na wote wanaoshiriki biashara hii chafu na kongwe kwa sababu inapukutisha country work force- aiseeh vijana wataisha kwa HIV/hepatitis

kikubwa wapewe training na mikopo hao madada poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…